Ukishaijua kweli katika Kristo, ni ngumu kuiacha na kwenda kwenye dini zingine, na ndoa halali ni ile ambayo inafungwa na dini na kubarikiwa.
Hapo suala ni moja tu, akufate kwenye dini yako.
Kama hawezi basi akubali tu mfunge ndoa then mkishakamilisha arudi kuswali kwenye dini yake. Maana cha msingi ni kuendelea na ibada na sio tukio moja la kanisani.
Nionavyo mimi kumfata mwanamke sio sahihi na ndio maana wewe ndio unaamua kuoa, unachumbia, unatoa mahari, unakuwa kichwa cha familia na hata jina la ukoo na watoto huchukua la mume.