Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

Habari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi,

Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
kama wewe ni mkatoliki funga ndoa ya mseto,yeye anabaki na dini yake na wewe unabaki na dini yako
 
Habari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi,

Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
Kama wewe hauwezi kubadili dini na yeye hawezi kubadili dini hakuna muendelezo hapo ondoka, halafu usijifungie kwamba eti ukiachana naye utapata shida kumpenda mwingine hicho kifungo utakwama hapo, kwani ni wa kwanza huyo kwenye maisha yako? Mapenzi hayatakiwi kutufanya vipofu kiasi Cha kushindwa kufanya maamuzi.
 
Habari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi,

Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
'Haki huelekea uzima, afuataye maovu huifuata mauti yake mwenyewe'
 
Hakakupenda bado,mwanamke akikupenda Huwa anaitikia kila kitu,angekuwa anakupenda kwa dhati angenadilisha Dini mwenyewe na angefuata unavyotaka.

Nakushauri,usibadili Dini yako kwa ajili ya mwanamke. Wanawake Huwa ndo tunabadili Dini na kufuata ya mume.

Asante sana kwa ushauri wako
 
Habari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi,

Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
Dini ni sehemu ya watu wengi kuoa/kuolewa na watu wasio wa kwao, yaani unaendea mtu mwingine ambaye hakupangwa kwenye maisha yako kwa sababu ya hizi dini za mwarabu na mzungu, ni vituko
 
Nataka nikuulize swali moja
Mkishaoana kiserikali kilamtu akabaki na dini yake watoto watakuwa dini gani? Nijibu
 
Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana

Toa hilo neno kwamba mnapendana...

Kama mngekuwa mnapendana, basi mwanamke angeacha yote na kuamua kukufuata...
 
Izo ndo hesabu zake japo Roho inaniuma sana but kwa dini that’s too much siwezi fika uko
Tulia uolewe kwan kuna tatizo mzee baba?
Fuata moyo wako ona sasa unaumia kwa kukataa kuolewa acha ujinga wako kubali

Lasivyo utaendelea kuumia ngoja umuone na mwanaume mwingne ebu nipe namba zake PM
 
"Sibadili kwasababu ndio dini iliyonikuza naiheshimu"

kama sababu yako ya kutobadili dini ni hio bora hubadili tu maana sababu dhaufu Sana.
 
Habari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi,

Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
unataka uwe submissive kwa mwanamke? umekwisha
 
Habari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi,

Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
kwanza tutake radhi kwa typing error iliyoko apo, eti "TUNAPENDANA",, Sema unampenda bwana......
 
Back
Top Bottom