Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

Mkristo halisi yaani yule aliyempokea YESU KRISTO kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake (achana na wengi walioshika dini wanaojiita wakristo) anaishi kulingana na neno la Mungu linavyosema, kwa kesi yako biblia inasema hivi katika 2 Wakorintho 6:14, “Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?”. Ushauri wangu kwako, usifungiwe nira pamoja na asiyeamini, kila la kheri.
 
Aisee uwezo wa Vijana kufikiri umekuwa mdogo Sana ndio maana hata washauri wa Serikali kwenye mikataba Ni Hopeless...! Just imagine huyo mtu anaweza toa ushauri gani kuhusu Bandari Kama Ishu ndogo tu imemshinda

Sio issue ndogo mkuu hapa tunazungumzia hisia na misimamo na siko mwenyew katika hili wapo vijana wengi wako kwenye hi situation
 
Mkristo halisi yaani yule aliyempokea YESU KRISTO kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake (achana na wengi walioshika dini wanaojiita wakristo) anaishi kulingana na neno la Mungu linavyosema, kwa kesi yako biblia inasema hivi katika 2 Wakorintho 6:14, “Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?”. Ushauri wangu kwako, usifungiwe nira pamoja na asiyeamini, kila la kheri.

Asante Kwa ushauri wako mkuu
 
Aisee upo siriazi sana na mapenzi

images - 2023-08-28T231729.884.jpeg
 
Habari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi
Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye muislam mimi mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
Hapo unawaza.kwa.kutumia.moyo, waza kwa kutumia.akili uje utuambie umewaza nini,
 
Kuna vijana wamepewa assignment ya kusilimisha Wakristo ili wawe Waislamu.
Huyo ni mmoja wapo.
Wanaopendana hawaulizani Dini.

Take Notes.
Warumi 8:35
Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
(au mapenzi ya kibinadamu?)

Marko 8:36
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
(na kutupwa Jehanamu)
 
Amen [emoji1431] kwakunikumbusha
 
Mkristo halisi yaani yule aliyempokea YESU KRISTO kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake (achana na wengi walioshika dini wanaojiita wakristo) anaishi kulingana na neno la Mungu linavyosema, kwa kesi yako biblia inasema hivi katika 2 Wakorintho 6:14, “Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?”. Ushauri wangu kwako, usifungiwe nira pamoja na asiyeamini, kila la kheri.
Me tunazidi kuisha, huyu ni Mvulana kabisa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Alafu

Unajua mimi mwanaume ku change dini kwa ajili ya mtu ambae atanitegemea kwa kila kitu broh sio kazi rahisi
1. Mwanamke hana dini.
2. Watoto watakaozaliwa wanafuata jina lako.
3. Mwanamke ni special group. Yupo kwenye kundi la watu wenye mahitaji maalumu.
4. Mwanamke ni mwanamke tu. Unaweza kumtuma hata mama Abdul akakuwekee maji ya kuoga bafuni, akaenda.
Ukikubali kupelekeshwa na mwanamke mpk ukabadili dini. Hiyo ndoa lazima ife, kwasababu mwenye maamuzi atakuwa ni mwanamke.
Kuna watu nimeshuhudia wameoa waislamu na hawajabadili dini na wana watoto, wana majina ya kikristo.
Kubadili dini kwa mtu anayekutegemea kwa kila kitu ni ufala wa kiwango cha PHD
 
Back
Top Bottom