Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,332
- 21,759
Kuna mpya inaendelea umeiona?Alafu we jamaa ile story yetu mboni hujaimaliza?
Kuna mpya inaendelea umeiona?Alafu we jamaa ile story yetu mboni hujaimaliza?
Usifungiwe nira na asiyeamini.ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje
inauma kichizi na nimespray diesel aisee, full kukoswa koswa na misumari😂 Kmmmk
yaani umkane Yesu Kristo, ukaogeshwe maji uitwe jina la nini? hiyo laana utakufa nayo. dhambi ya kwanza ambayo wanadamu watahukumiwa ni kumkana Yesu Kristo, huko unakofikiria kwenda wao wamekataa Uungu wa Yesu Kristo ambaye alifanyika mwili kwaajili ya kufanyika kafara la wokovu wetu. huwezi kumwona Mungu bila imani ya aina hii na ukiiikana umejiandikisha jina la kwenda jehanum milele.Habari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi
Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye muislam mimi mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje
Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
yaani umkane Yesu Kristo, ukaogeshwe maji uitwe jina la nini? hiyo laana utakufa nayo. dhambi ya kwanza ambayo wanadamu watahukumiwa ni kumkana Yesu Kristo, huko unakofikiria kwenda wao wamekataa Uungu wa Yesu Kristo ambaye alifanyika mwili kwaajili ya kufanyika kafara la wokovu wetu. huwezi kumwona Mungu bila imani ya aina hii na ukiiikana umejiandikisha jina la kwenda jehanum milele.
Uamuzi ni kuachana nae au uendelee nae full stopHabari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi
Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye muislam mimi mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje
Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
kwao mimi ndio ni kafir, na bora niitwe kafir mara mia kuliko kuwa mvaa kobaz.Ngoja wakuite kafiri [emoji23]
Delay kwanza hadi pale utakapopevuka, ushauri wetu kwa sasa hauwezi kusaidia chochoteHabari wana jf mimi ni kijana 27 nina mpenzi,
Tunapendana ila hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakua nimejikosea sana maana ndo dini ilionikuza naieshim sana wakuu nifanyeje
Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua mda mwingi adi kuja kupanga kuoa tena ..
Majibu yako yanaonyesha msimamo wako, ajabu umekuja kuwainjoy raiaDah itachukua mda sana
Yesu ni nani mkuu? Kwako wewe Yesu ni Mungu au Nabii kama manabii wengine?wengi wa hao huwa hawabadili dini hivi hivi hadi majini na maruhani yawatandike fimbo, yawapige ugonjwa ndio masikio yanazibuka wanakimbilia kwa Yesu Kristo Mwokozi...
Yesu Kristo ni Mungu aliyefanyika mwili ili kukuokoa wewe uliye katika mwili, ndiye atakayekuhukumu wewe na mood siku ya mwisho pia.Yesu ni nani mkuu? Kwako wewe Yesu ni Mungu au Nabii kama manabii wengine?
Yaani akili yako inakuambia Mungu aliyekuumba wewe alishindwa namna ya kukuokoa akaamua ajibadili awe binadamu ili akuokoe? Yaani mungu alishindwa kubadilisha akili zako automatic ili uwe mwema? Mungu akaamua akae tumboni miezi 9, anye mavi kwenye chupi miaka 5 ili tu kukukomboa wewe?Yesu Kristo ni Mungu aliyefanyika mwili ili kukuokoa wewe uliye katika mwili, ndiye atakayekuhukumu wewe na mood siku ya mwisho pia.
Sasa unataka usaidiweje, yani lengo la uzi wako ni nini?Alafu
Unajua mimi mwanaume ku change dini kwa ajili ya mtu ambae atanitegemea kwa kila kitu broh sio kazi rahisi
Sasa unataka usaidiweje, yani lengo la uzi wako ni nini?
1. Funga ndoa ya serikali, hutaki
2. Badili dini, hutaki
3. Achana nae, hutaki
4. Muoe hivyohivyo, hutaki
Unataka nini?
Ninyi wawili ndio wenye maamuzi. Ikitkea maamuzi yenu hayaendani, basi hakuna upendoNdoa ya serikali naitaka ila yeye hataki
Kumuoa ivyo ivyo naweza ila kwao wanataka aolewe kidini