Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

Mwanamke anaekupenda atafanya chochote ili aendelee kua na wewe.
Umetoa option ya ndoa ya kiserikali kakataa mbona hiyo inadhihirisha wazi kua yeye ana options.

Yaani akiachana na wewe ana option nyingine ndio maana anakulazimisha wewe ubadili dini, ukishindwa kutekeleza hilo yeye anaenda kwa plan B. Wewe utabaki na maumivu yako, mbaya zaidi ni kua keshajua hufurukuti kwake
 
Wewe wakati unaanza nae uhusiano suala la imani hamkuwahi kujadili au ulitegemea nn?

Ushauri wangu kwako,kama kila mtu ameamua kubaki na dini yake n sawa?Fuata viongozi wenu wa kiroho waelekezeni nia yenu,nijuavyo mm upendo ni zaidi ya dini. Hivyo mnaweza kupata kibali cha kufunga ndoa kanisani au hata sehemu nyutro (yaweza kuwa nyumbani au eneo lisilo la wazi )ilikulinda imani zenu na bidada kubaki katika imani yake bila kuathiriana.Je watoto mtawalea kwa imani ipi ?hapo nashauri mliweke wazi mapemaaaa pia.

Ukijaribu kufanya ujanja ujanja naona dalili ya kukwama mbele au kutokea migongano.
 
Mwanamke anaekupenda atafanya chochote ili aendelee kua na wewe.
Umetoa option ya ndoa ya kiserikali kakataa mbona hiyo inadhihirisha wazi kua yeye ana options.

Yaani akiachana na wewe ana option nyingine ndio maana anakulazimisha wewe ubadili dini, ukishindwa kutekeleza hilo yeye anaenda kwa plan B. Wewe utabaki na maumivu yako, mbaya zaidi ni kua keshajua hufurukuti kwake

Asante mkuu… Siwezi fika uko mimi mwanaume lazima nilinde mipaka yangu na misingi yangu
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.
Mpe mimba
 
Kama hataki kubadili dini na hataki Ndoa ya Serikali hapo ni pagumu sana labda muachane kwa Amani kila Mtu aendelee na maisha yake.
 
Yaani akili yako inakuambia Mungu aliyekuumba wewe alishindwa namna ya kukuokoa akaamua ajibadili awe binadamu ili akuokoe? Yaani mungu alishindwa kubadilisha akili zako automatic ili uwe mwema? Mungu akaamua akae tumboni miezi 9, anye mavi kwenye chupi miaka 5 ili tu kukukomboa wewe?

Una akili timamu kweli wewe?
Wakuu stick kwenye mada husika ....hizi mnazoanzisha hazinaga Mwisho mzuri Kila mtu abaki na anachokiamini.
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.
fungeni ndoa mseto kila mmoja anabaki na dini yake inakubalika
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kila siku tunasema hapa, kama wewe ni mwanaume na ni Mkristo tafuta wa Dini yako mapema sana. Hakuna kazi ngumu kama kuwabadili Dini waislam. Probabilities za waislam kubadili dini ni ndogo mno.

Kesi nyingi ni Wakristo kubadili dini. Hapo hutoboi, kama alikuwa wa kukubali angekubali mapema sana.
 
Mwanamke anaekupenda atafanya chochote ili aendelee kua na wewe.
Umetoa option ya ndoa ya kiserikali kakataa mbona hiyo inadhihirisha wazi kua yeye ana options.

Yaani akiachana na wewe ana option nyingine ndio maana anakulazimisha wewe ubadili dini, ukishindwa kutekeleza hilo yeye anaenda kwa plan B. Wewe utabaki na maumivu yako, mbaya zaidi ni kua keshajua hufurukuti kwake
Well said
 
Back
Top Bottom