Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

Habari wana JF,

Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.
Sehemu ambapo vijana huwa wanakosea, na zaidi sana kwa kupuuzia au kutojua, ni wakati wa kutafuta mwenza. Ukishajua kuna utata utaibuka mbeleni kuhusiana aidha na dini, kabila, elimu, mwonekano, n.k ni vyema kujiepusha mapema sana na huyo mtu kuliko kutazama upande mmoja tu wa ashiki.

Hivyo basi, bado muda unao. Achana nae tafuta wa imani yako
 
Sawa Asante
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.
Tia mimba tu halafu achague mwenyewe awe mkristo au single maza
 
Abadili dini kwa ajili ya mume wake sio abadili dini eti kisa mumewake anaela

Nadhani umesahau wimbo wa Dogo Hamidu Man Banyenda Dar Scandal Hola - MTU NI KITU.

Tafuta Maokoto mkuu ,demu hawezi kukupenda tu kwa jinsi ulivyo kwani wewe una u-special gani kuliko wengine? MAOKOTO ndiyo yanayotofautisha watu.
 
Simple mkuu,
Fanya hivi, change dini wakupe mke,
Then 3 weeks later unarudi kuwa mkristo, unaenda zako church, kiroho safi, watoto wakizaliwa wanakuwa wakristo kibabe tu

Iyo ndo ilikua plan yangu mwanzo maana bado sijabatizwa so niliwaza ku change then baada ya miezi 6 narudi kwenye dini yangu af nabatizwa kabisa
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.
Mteke kisayansi kwa kumshawishi. Huyo ni mwanamke wako, kama kweli anakupenda kiasi hicho unatakiwa wewe uwe na nguvu za kum control (sio kwa kutumia mabavu, bali akili).
Mfano, unaweza kumuaminisha kuwa wewe huna tatizo na kubadili kwenda kwenye uislam, lakini uislam unaruhusu mwanaume kuoa hadi wake wanne. Sasa muaminishe kuwa wewe hutaki kumuingiza kwenye huo mtego wa ukewenza, kisha muulize je yeye anauweza ukewenza? Kama unashindwa kumteka akili huyo binti kiasi cha kumshawishi abadili dini na kukufuata, basi ujue hutaweza kummudu na kumuongoza kama mkeo. new level
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.
Mapenzi yanaRun dunia.

Dogo umependa ula unaogopa kupenda zaidi.
 
Back
Top Bottom