Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

1. Mwanamke hana dini.
2. Watoto watakaozaliwa wanafuata jina lako.
3. Mwanamke ni special group. Yupo kwenye kundi la watu wenye mahitaji maalumu.
4. Mwanamke ni mwanamke tu. Unaweza kumtuma hata mama Abdul akakuwekee maji ya kuoga bafuni, akaenda.
Ukikubali kupelekeshwa na mwanamke mpk ukabadili dini. Hiyo ndoa lazima ife, kwasababu mwenye maamuzi atakuwa ni mwanamke.
Kuna watu nimeshuhudia wameoa waislamu na hawajabadili dini na wana watoto, wana majina ya kikristo.
Kubadili dini kwa mtu anayekutegemea kwa kila kitu ni ufala wa kiwango cha PHD
Kuna mzee alibadili dini kwa ajili ya wife , ila naona wife wake alishampa kibuti huyo mzee
 
Kijana bado haujakua na bado hauna msimamo

Few years ago nilikua na mahusiano na mdada wa TAG (walokole) mimi nikiwa ni KKKT.

Tulipendana sana na kupanga mipango kibao ya ndoa. Likaja suala la kubadilisha dhehebu, binti akakaza kuwa hawezi kuja KKKT maana sisi ni watu wa mataifa hamtumuabudu Mungu wa kweli, sjui hatujaokoka.

Akasema na mama yake hawezi kukubali yeye kuhamia KKKT.

Nikamuuliza achana na kusingizia mama yako kukataa, wewe kama wewe unasemaje? Akasema hayupo tayari kubadili dhehebu na yupo tayari kufa kuitetea imani yake.

Akasema Solution ni mimi kuhamia TAG, nikamwambia hapana kama wewe huwezi kunifuata KKKT.

Basi tuliachana na yule binti kwa namna hio, niliumia sana ila nlijikaza kiume. Nlihisi siwezi kumpata mwingine kama huyu.

Baadae nikaja mpata KKKT mwenzangu tukaoana, tunaishi maisha safi kabisa yani mke wangu ni bora kabisa.

Ukionesha weakness kwa uyo mwanamke utakua weak maisha yako yote ya ndoa. TAKE THIS NOTE
 
Yeah exactly ndo kitu ninacho kiona naweza nikatii vyote ila kwenye kubadili dini siwezi kabisa nafsi inaweza kunisuta mpaka nikakonda
 
Alafu

Unajua mimi mwanaume ku change dini kwa ajili ya mtu ambae atanitegemea kwa kila kitu broh sio kazi rahisi
Unamjua Kristo?? isije kuwa unakazana hutaki kubadili dini na hata msingi wa imani yako huifati licha hata ya kuitambua.

Mjue sana Mungu wa Yesu Kristo, then utapata majibu yako huko.
 
Unamnjua Kristo, isije kuwa unakazana hitaki kubadili dini na hata msingi wa Imani yako hata huifati licha hata ya kuitambua.

Mjue sana Mungu wa Yesu Kristo, then utapata majibu yako huko.

Ukristo naujua na ndio umenikuza toka niko mdogo kwaiyo kuupoteza ukristo kwa ajili ya mwanamke ni jambo ambalo kwangu haliwezekani
 
Alafu

Unajua mimi mwanaume ku change dini kwa ajili ya mtu ambae atanitegemea kwa kila kitu broh sio kazi rahisi
Kikanuni mwanaume akitaka kuoa km upo dini tofuauti na mwanamke wewe Mwanaume ndio unatakiwa ubadirishe umfuate Mwanamke ingawa wapo wanawake wachache sana wanaoikiuka hio kanuni yaan mwanamke anajitoa yeye kumfuata Mwanaume na kujibadirisha dini

Lakini inavyotakiwa Mwanaume ndio abadirishe dini au mnaweza mkawa na ndoa Mseto hii kanisani inaruhusiwa unakua na dini yako na Mwanamke anakua na dini yake mnafunga ndoa safi Ila watoto wataifuata dini yako hapo sasa ni suala la makubariano yenu nyinyi wawili ikiwa kila mmoja hataki kubadirisha dini
 
Iyo ndoa mseto naitaka ila yeye haitaki
 
Back
Top Bottom