Nampenda evelyn salt,nifaneje awe wangu

Nampenda evelyn salt,nifaneje awe wangu

Mhhh....umependa avatar au umependa fake name...tehe tehe vijana tuna mambo...looh

Aya evelyn salt muelewe dogo maana ukifanya mchezo hachelew kukuimbia uyo!

Kama amependa avatar basi atakuwa na matatizo ya akili maana hako ni katoto kadogo.
Kama amependa fake name...mhhhh...ingekuwaje kama angeitwa evelyn sugar?
 
Heheee!,usione vyaelea dogo vimeundwa,shaurilo!sijui nimshtue mmiliki mhhh ngoja niuchune!
 
kwan amehama pale town au maana last tym nlionana nae RIO duh alikua ana six pack balaa ngojs kijana akakutane nao mkia wa mbele au sio @aspirin

atakimbia na chu... mkononi
 
Mmmhhh huyo ashawahiwaaa zamanii na wenye macho yaooo
 
Humpati tena,ungekuwa una nia nae kweli ungemmedea kimya kimya sio kuja kuanika nia yako hapa.
 
nampenda sana dada Evelyn Salt wakuu sasa gia ya kumuingilia ndo nakosa jamani embu nipeni gear, maana kila nikijaribu naishia kuambiwa mdogo japo nina age ya 26,i stand to be corrected but my heart thinking about her and i love her from bottom of my heart.

Badili kichwa cha thread yako to..."Jamani namuogopa Evelyn Salt"
 
Last edited by a moderator:
Mwandikie bank card yako chemba na password yake ahamishe japo tulaki tu 4 tu then muanze kuongea
 
Nimegundua Kumbe Weng Tunampenda Ila Kaaibu Kanawabana.
 
Nimegundua Kumbe Weng Tunampenda Ila Kaaibu Kanawabana.

wengine kwetu ni x lakini jitete ana raha yake sema ndo hivyo anataka anukie hela ,afu ni mzuri kama madamrita sema mdogo kaza buti lasivyo utakula kwa microscope
 
hivi ule ugonjwa wa kutamani tamani umeisha?
 
Back
Top Bottom