Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,114
Hahahaaa u have my blessings
Last edited by a moderator:
Kuchumbiwa si hoja mkuu. Mpira ni dakika tisini. Mpaka filimbi ya mwisho (aolewe) ndio kitaeleweka. mwache kijana azidi kumwaga sera zake. Bora tu ziwe za serikali tatu!
nampenda sana dada Evelyn Salt wakuu sasa gia ya kumuingilia ndo nakosa jamani embu nipeni gear, maana kila nikijaribu naishia kuambiwa mdogo japo nina age ya 26,i stand to be corrected but my heart thinking about her and i love her from bottom of my heart.
Jameni punguza upesi bado nauma uma kucha na kuchora chini hata sijampa jibu....
hebu nikuulize: unamfaham na umewahi kusikia sauti yake na ukajua ni mwanamke?? Kuwa makin ndg yangu utampenda mwanaume mwenzio shaur yako. Evelyn Salt ni mwanaume na anasoma UDOM kama huamini nakutumia namba yake hahahaaaaa
Ile kitu nimeahirisha, baridi jamaa kashikwa na ngiri...Evelyn Salt kijana huyo kakudondokea, hahahaaaaaa,laiti angejua ile kitu inapotea leo?!!Hahaaaa,vijana wa siku hizi bwana,
alitimuliwa huko kwa kuendesha mgomo ule wa bumu kwa sasa kaamia st.john na ni waziri flani pale sasa we ingia kumkichwa kama hajatokea mgongano wa viungo vinavyofanana
alitimuliwa huko kwa kuendesha mgomo ule wa bumu kwa sasa kaamia st.john na ni waziri flani pale sasa we ingia kumkichwa kama hajatokea mgongano wa viungo vinavyofanana
sweet kubal jamani Evelyn Salt