Nampenda evelyn salt,nifaneje awe wangu

Nampenda evelyn salt,nifaneje awe wangu

nampenda sana dada Evelyn Salt wakuu sasa gia ya kumuingilia ndo nakosa jamani embu nipeni gear, maana kila nikijaribu naishia kuambiwa mdogo japo nina age ya 26,i stand to be corrected but my heart thinking about her and i love her from bottom of my heart.

Nadhani umeona ujumbe (signture) wake pale chini - "It takes a real man to make a woman satisfied......."

Ubavu huo unao? Nawe mweleze "It takes a real woman to make a man satisfy her..."
 
Angalia asije kuwa type za kina Gilesi kwi kwi kwi.
 
Last edited by a moderator:
Umeangalia marital status yake kwanza? au unataka bifu la bure na wenye mali zao?

halafu hawa ndo baadae unakuta ni walewale akna Bujibuji anataka thread iwe kubwa ole wako aguse kwangu na tobo la utamu kwenye paji
 
Last edited by a moderator:
nampenda sana dada Evelyn Salt wakuu sasa gia ya kumuingilia ndo nakosa jamani embu nipeni gear, maana kila nikijaribu naishia kuambiwa mdogo japo nina age ya 26,i stand to be corrected but my heart thinking about her and i love her from bottom of my heart.

hebu nikuulize: unamfaham na umewahi kusikia sauti yake na ukajua ni mwanamke?? Kuwa makin ndg yangu utampenda mwanaume mwenzio shaur yako. Evelyn Salt ni mwanaume na anasoma UDOM kama huamini nakutumia namba yake hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Umeangalia marital status yake kwanza? au unataka bifu la bure na wenye mali zao?
Wewe ndiye mmiliki nini? Maana kuna mada niliiona chitchat ukimpaisha mrembo Evelyn Salt
 
ni kweli lakini keshachumbiwa

Kuchumbiwa si hoja mkuu. Mpira ni dakika tisini. Mpaka filimbi ya mwisho (aolewe) ndio kitaeleweka. mwache kijana azidi kumwaga sera zake. Bora tu ziwe za serikali tatu!
 
Mhhh....umependa avatar au umependa fake name...tehe tehe vijana tuna mambo...looh

Aya evelyn salt muelewe dogo maana ukifanya mchezo hachelew kukuimbia uyo!
 
ngoja nikupe namba yake usihofu
 
Back
Top Bottom