Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

Emu chukulia una kijana wako wa kiume let's say Yuko katika early 30 kaja kwako kama baba yake na kukuambia amemzalisha Binti na Hana Nia ya kumuoa.

Kuhusu swala la matunzo ya mtoto utamshaurije?

Suala la matunzo ya mtoto halihitaji Ushauri kwani lipo wazi kisheria. Ni wajibu.
Huwezi mshauri mtu wajibu wake.
Alafu unajiona Mwanaume. Sio ajabu unawaza kile ulichofanywa na Babako
 
Mkuu kwanza jibu la swali hili lina vary kati ya mtu na mtu, mazingira, muda, nyakati, elimu, uzoefu, umri, historia, familia, chimbuko, malezi, imani, hali, utamaduni, mazoea, hulka, tabia, fikra, mtazamo wa mtu na kadhalika.
Umeanza kujificha kwenye logical frame work matrix..

Jibu swali tu katika mazingira ya kawaida ya familia za kiafrika.
 
Swala la mwanamke kuchangia pato la familia halipingiki hata kidogo. Methodology nzuri itumike ili kuhakikisha mwanamke anaona thamani ya kile anachofanya kwa familia yake.

Ukizaa nje(hovyo) huo ni mshahara wako, kulea mtoto. Yaani unatakiwa ugawe kipato chako kidogo twice( kwako na kwa baby mama) ili ulee mtoto wa nje huko, kazi kubwa sana hii na ndio maana wengi wanashindwa, kipato hakigawanyiki.

Tunawaasa muache ķuzaa hovyo ili muwe na nuclear family, mlee watoto kwa kipato hicho kidogo pamoja.
 
Suala la matunzo ya mtoto halihitaji Ushauri kwani lipo wazi kisheria. Ni wajibu.
Huwezi mshauri mtu wajibu wake.
Alafu unajiona Mwanaume. Sio ajabu unawaza kile ulichofanywa na Babako
Hebel umewaangusha watibeli sana, kwa kutukana. Nakukumbusha, Mwalimu Mtibeli hatukani hata akwazwe vipi na mwanafunzi wake! Leo umeharibu! 🗣️👣
 
Swala la mwanamke kuchangia pato la familia halipingiki hata kidogo. Methodology nzuri itumike ili kuhakikisha mwanamke anaona thamani ya kile anachofanya kwa familia yake.

Ukizaa nje(hovyo) huo ni mshahara wako, kulea mtoto. Yaani unatakiwa ugawe kipato chako kidogo twice( kwako na kwa baby mama) ili ulee mtoto wa nje huko, kazi kubwa sana hii na ndio maana wengi wanashindwa, kipato hakigawanyiki.

Tunawaasa muache ķuzaa hovyo ili muwe na nuclear family, mlee watoto kwa kipato hicho kidogo pamoja.

Unaweza ukaoa na mkapeana Talaka. Ishu hapo ni haki na wajibu.
Kisheria mtoto ni mtoto hakuna mtoto wa nje wala wa ndani.
 
Na Babako aliyekugeuza mkewe ndiye Role model wako. Nawaonea watoto wako wakiume huruma maana utawaharibu
Inawezekana wewe pia nimeshakuharibu.

Ndio maana nimekuambia muulize mama Yako nani anatoa Hela ya matunzo hapo kwenu baada ya kuwaokota stendi ya makambako.
 
Hebel umewaangusha watibeli sana, kwa kutukana. Nakukumbusha, Mwalimu Mtibeli hatukani hata akwazwe vipi na mwanafunzi wake! Leo umeharibu! 🗣️👣

Watibeli wanatumia kanuni nyingine isemayo dawa ya moto ni moto.
Na Mpumbavu hajibiwi kwa Hekima.

Huyo sio mwanafunzi wangu. Sio Mtibeli.
Watibeli tunaongozwa na haki.
Kipimo atakachopima sisi tutapima vilevile kwa kadiri ya atakavyokuja
 
Unaweza ukaoa na mkapeana Talaka. Ishu hapo ni haki na wajibu.
Kisheria mtoto ni mtoto hakuna mtoto wa nje wala wa ndani.
Vipato vya wengi ni vidogo, havigawanyiki. Sio rahisi kugawa mshahara kwa baby mama na kwako ukaishi vizuri.

Mambo ya talaka ni matokeo tu, ila tunuie kulea familia tukiwa pamoja, tusizae hovyo tukashindwa kulea watoto wetu vizuri.
 
Kwakuwa ni maoni yako, nayaheshimu.
Ila mwanaume Mkristo anayewaza majukumu ya 50/50 ni mpumbavu na ni mbaya kuliko asiyemuamini Kristo.

Mwanaume Mkristo lazima aitunze na kuilinda familia yake, asimtegemee mwanamke pesa yake kabisa ila amtegemee Mungu kama msaada wake mkuu pamoja na maarifa aliyokuwa nayo. Afanye kazi kwa bidii na kutegemea Mungu ataibariki kazi ya mikono yake.

Mwanaume Mkristo ni mwanajeshi anayemfuata Yesu, akishindwa kumpenda mwanamke wake, ameshindwa kuonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke huyo. Upendo wa Yesu ni utoaji na sio kupokea kila kitu zaidi ya utii kutoka kwa mwanamke. Mwanaume ni natural giver na kutokana na utoaji huo, mwanamke ataonyesha upendo wake kupitia utii.
Usimtumie ukristo kufanya kama rejea ya mambo ya hovyo, mwandishi anaongelea mwanamke mchepuko na sio mkewe wa ndoa.
HATA HIVYO SWALA LA KUTUNZA FAMILIA NI LA BABA NA MAMA SIO BABA PEKEAKE.
 
Watibeli wanatumia kanuni nyingine isemayo dawa ya moto ni moto.
Na Mpumbavu hajibiwi kwa Hekima.

Huyo sio mwanafunzi wangu. Sio Mtibeli.
Watibeli tunaongozwa na haki.
Kipimo atakachopima sisi tutapima vilevile kwa kadiri ya atakavyokuja
Mkuu,

Hebel, Umesahau hiyo kanuni inaaply kwa watibeli tu!

Maana asiye Mtibeli inapaswa kumfananisha kwa kiasi kisichopungua mara 3, nawe ulikuwa hujafikia kiasi hicho!

Usisahau pia kanuni ya watibeli ya kukaa kimya, ulipaswa kuitumia kuona kama atandelea!

Watibeli hutanguliza busara hata wakabilianapo na hasira au ghadhabu!

Kwenye kikao cha watibeli ambacho umo kwenye orodha ya kupanda daraja, usipofuta tusi hilo utaenguliwa!!!🤣 🤣 🤣
 
Tunapoenda Huko mbele mambo yatakuwa hivyo
Sio hivyo tu, Ndugu,..kuna research ya watu wa Magharibi Niliwahi isoma,UCHUNGUZI unaonyesha watoto takribani 33% walio kwenye changamoto mbalimbali zinazowapa stress,..Wapo tayari KUWAFUNGULIA MASHTAKA WAZAZI WAO, KWA KUWALETA KWENYE MATESO,..kuwa hawakuombwa kuzaliwa....hivyo ni JUKUMU LA WAZAZI 100% kuwapigania katika hali yeyote ile, kwani wanaamini kuzaliwa kwao ilikuwa ni tamaa za miili ya WAZAZI wao tu...

Hivyo si ajabu kuona siku za usoni, WAZAZI tukibuluzwa mahakamani, na kushtakiawa na Watoto wetu kuwa tuliwazaa bila RIDHAA YAO.....nikawaza, huko ni kwa wenzetu ambapo mtu ana watoto wawili au watatu, na kidogo wana unafuu wa maisha kuliko kwetu...je! huku kwetu ambako watu wanashindana tu kuzaana huku watoto nguo za kuvaa ni full vilaka, mlo mmoja kwa siku na MTU anaona kuwa na watoto wengi ndo sifa...

LEO HII HAYA HAYAWEZEKANI, lakini kama Wanaume wanaoana tena kwa baraka za viongozi mbalimbali wa jamii kabisaa na kuwekana ndani kama mke na mume, basi siku zaja ambapo Wanawake watabuluzwa mahakamani na waume zao kwa kushindwa kuchangia pesa ya malezi kwa watoto,

Siku zaja ambapo watoto watatukaba kutuuliza kwanini tuliwaza weusi au weupe, wanene au wembamba, warefu au wafupi, wakike au wakiume, wazima wa Afya au wagonjwa,..na tukikosa majibu ya kueleweka, tutapewa makonde ya uso kwanzia nyumbani mpaka Jera...Lakini hata hivyo hili linachochewa zaidi na malezi mabovu tunayowapa watoto wetu...
 
Back
Top Bottom