AbusolutelyVilevile ni rahisi sana kugeuka kuwa mashoga pindi mambo yanapobana
Unafunika hata harufu hasikii abakie kuona tu kwa mbali na uchoyo wake.mwanaume mchoyo siwezi
Nashukuru tumevushwa salama.
Vipi umewaona wapi kina charminglady, gfsonwin, snowhite, Miss Neddy, Paloma, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Ben Mugashe, sister, lara 1 na wengineo wa enzi zile?
teheeee... dogo ukipigwa sikuamulii!Wanawake mnavituko sana, kwahiyo kidume akiamua kuzitumia hela zake pekeyake bila kuwahonga ndo mnamuita Dume suruali?? kwani si mtafute zenu nanyinyi ili muwe Jike Sidiria
Hahahaah... Usinitenge basiteheeee... dogo ukipigwa sikuamulii!
Ulivyokuwa unamtaka ilikuwa kwa ajili ya umaarufu wake au kingine?sijampata kwani edo ni handsome?
UMaskini tuu unakusumbuana nyie si mtoe helaa?
Hivi kumbe we sio demu? Mi najuaga we demu mana posts zako hazina muelekeo wa kiume..ama we mchele mchele nnWanawake mnavituko sana, kwahiyo kidume akiamua kuzitumia hela zake pekeyake bila kuwahonga ndo mnamuita Dume suruali?? kwani si mtafute zenu nanyinyi ili muwe Jike Sidiria
Hivi Manka huwaga unamaanisha au unatania?pesa
Mangi namaanishaHivi Manka huwaga unamaanisha au unatania?
Ayaa kyoo!!Mangi namaanisha