Tatizo hamtoi risitina nyie si mtoe helaa?
mwanaume mchoyo siwezi
Dah... Ukiwa mchoyo usiwe mroho[emoji13] [emoji13] [emoji13]mwanaume mchoyo siwezi
may beKisa unatoaga chini ??
ha haha kabisaDah... Ukiwa mchoyo usiwe mroho[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Uwezi kushindwa ukiamuamwanaume mchoyo siwezi
siwezi kuamua hiliUwezi kushindwa ukiamua
best comment.Wanawake mnavituko sana, kwahiyo kidume akiamua kuzitumia hela zake pekeyake bila kuwahonga ndo mnamuita Dume suruali?? kwani si mtafute zenu nanyinyi ili muwe Jike Sidiria
ha hahahaNA MTUACHEEEE !!
Wao hawajisemi...!Na wadafa visketi je?
i mean broke women's