Namna ya kumtambua mwanaume suruali

Namna ya kumtambua mwanaume suruali

Hatupendi Wanawake Tunapenda Wanawake Wazuri Wanaojitunza Na Kujiheshimu Sio Wa Mkwanja Na Gari Kama Ushatendwa Pole
 
Nilikuwa na shem wangu watype hiyo umesahau moja usafiri wa kuazima, pia hawapendelei mabasi hela wanawachuna wanawake wazee wanapandia ndege yaani vitu vyao vyote ni matawi ya juu.
 
mnazipenda hela zangu..??...nami nazipenda pia.!!...kama vipi kila..mtu abaki na zake....[emoji57] [emoji57] ....
 
Vilevile ni rahisi sana kugeuka kuwa mashoga pindi mambo yanapobana
 
Hizo sifa zote ni za marioo (mwanaume anayetaka kulelewa).
Dume suruali anazo ila hataki kutoa.
Nami ndicho ninachokifahamu! Dume suruali ni dume bahili kwa madem
 
9.Kingine ni u handsome, kiukweli ni wazuri kwa sura na watanashati na wana kauli nzuri zinazowawezesha kuwalaghai watu kiurahisi na ni watu ambao wanajua mambo mengi sana yaani wanakuwa na a lot of information ziwe ni za kitaa au kisiasa na mambo mengine muhimu yanayotokea kila siku.

Hiyo kwenye red kama ni genetic na kuna objective measure ina husiana vipi na unachokisema yaani behaviour?
 
Back
Top Bottom