kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
Huwa hakupi Kitu? Sasa hayo si makubaliano yenu, ila jaribu kumuelewesha tu.Hizo sifa zote anazo LEMUTUZ
Huwa hakupi Kitu? Sasa hayo si makubaliano yenu, ila jaribu kumuelewesha tu.Hizo sifa zote anazo LEMUTUZ
ha ha haa nimekariri avatar zao nikiwaona nakimbiaWako wote mtu na kaka yake.
View attachment 461296 View attachment 461297
Kwa hiyo Zinduna inabidi awaweke pale kwenye thread maana tumeshawatambua, ili kila mmoja akiwaona awe anajua hawa ndo madume suruali.
Njooo ujizoleee huku gfsonwin zimejaa KEDEKEDE
Njooo ujizoleee huku gfsonwin zimejaa KEDEKEDE
ha ha haa nimekariri avatar zao nikiwaona nakimbia
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha ha, tena kimbia na usigeuke nyuma!
Wewe unaonaje?Hivi kumbe we sio demu? Mi najuaga we demu mana posts zako hazina muelekeo wa kiume..ama we mchele mchele nn
gfsonwin mbona umenipita hapa?heeheheheheeee...............
umeona enh!!
ndio maana siwaelewei wanaotaka kupewa kipochi manyoya bure
nakuja subiria hapo hapo
Akafe nazo huko sasa, raha ya hela pata tumia na wenzio.Hizo sifa zote ni za marioo (mwanaume anayetaka kulelewa).
Dume suruali anazo ila hataki kutoa.
Hawa wenzetu usipowapa hela zako wanakusimanga jamani loooh! Si mtafute za kwenu
Wacha we! Raha kweli kweli...shida ni mke wangu, sijui kalelewaje, hataki wenzie nao watumie.Hehehe sasa unapata raha gani kukaa na hela halafu hugawi kwa wenzio. Huo ni uchoyo tu, raha ya pesa upate na mtu wa kukusaidia kutumia.