Namna ya kuidhibiti CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kuidhibiti CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgen, Mar 2, 2011.

 1. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,969
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  Ccm kama chama wanayo sera nzuri tu ambayo ni kuondoa UMASKINI UJINGA MARADHI.
  Badala ya kutekeleza sera hizo kwa vitendo wamekuwa WALIMILA DOLE(anaye lima kwa kidole kwamba leo nitalima pale pale na pale, kisha bila kulima na jembe, jioni imefika anarudi na kesho keshokutwa hivyo hivyo!) na kugeuza sera hizo mtaji wao wa dhulma na unyonyaji kwa wanyonge.

  Hivyo basi waache Mipasho na kucheza kiduku wafanye kweli maana sasa adui mwingine kaongezeka na sio CDM bali UFISADI.

  Kumekucha badilikeni ima mwende na gharika la UMMA.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  CCM hawawezi kubadilika kwani tayari wamekwisha lemaa kwa kuendekeza ufisadi,majungu,uzembe,upuuzi,mifarakano na utumbo mwingine kama huo.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nIMEOGOPA KUONA HEADING!Nikajua ni kwa kutumia mabomu!...huh!
   
 4. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,969
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  Mabomu yamesha shindwa kabla hata hawajayatumia mwanangu!
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,909
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  ccm NI MTI ULIOKAUKA.HAUWEZI KUTOA MATUNDA.Naomba CHADEMA waanze mapema maandalizi ya kupokea Nchi.PIPOZ...!!??
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,288
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  waondoke tu madarakani....hakuna wanachoweza kwa sasa....wakiambiwa hali ya maisha mbaya wanasema hawaelewi na kutoa vitisho vya ajabu....mara ni uchochezi... leo Pinda anasema pamoja na kukosa umeme uchumi haujaterereka,kuna wanachoelewa kweli???....kuliko kufa kwa njaa bora tufe kwa ajili ya kizazi hiki na kijacho.....CCM must go!!
   
 7. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 2,798
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Michelle

  Kumbe hata hili jukwaa unafika..??? mimi nimezoea kukusoma kule mitaa ya Upanga Uhindini...

  Mzima lakini?

  Masanja
   
Loading...