JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 625
- 938
Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus.
Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia kushikana mikono.
Aida, Mwanafunzi au mwalimu mwenye dalili za corona asiruhusiwe kuingia katika mazingira ya shuleni ili kuepuka kuwaambukiza wengine.