Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,271
- 10,079
Bodaboda wana maisha mazuri kuliko idadi kubawa sana ya waajiriwa na wafanyabiashara wadogoKijana unakimbizana na bodaboda/bajaji kuanzia asubuhi mpaka usiku, mwisho wa siku unabaki na 20k–30k.
Ndani ya hiyo 30k una mwanamke/mke unaishi nae, deni linakusubiri, chombo ni cha mkopo, home Kijijini simu hazishi bado kuna matumizi ya hapa na pale.
Ukishika pesa kidogo inaisha hapo hapo. Maana una kausha damu kadhaa
Hakuna akiba. Hakuna plan (maana hata muda wakuwaza hiyo plan huna muda wote kichwa Cha moto)
Unajipa moyo “niko busy”, lakini ukweli ni huu uko stuck.
Miaka inaenda mara 50 paaap
Hakuna kinachokua.
Hakuna unachojenga.
Mwisho wake?
Unakuja kuwa mzee wa kutegemea wengine.
Sio kwamba hizi kazi ni mbaya hapana.
Lakini bila plan, zinakumaliza kimya kimya tahamaki 60 hii hapa 🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri
Sawa, nakubaliana na wewe maboda wengi wanapiga hela, hasa maeneo ya town na masoko makubwa. Hilo halina ubishi.Wewee
Bodaboda wana hela tatizo kubwa si sket
Walioko masokoni na hapa mjini
Biashara yangu inategemea sana maboda
Boda kulaza 40 ni kawaida sana
Na siku hizi 90% wana pikipk zao
Ukishaendesha zaidi ya mwaka hujapata yako basi wewe ni mjinga na wapo wachache
Tatizo lenu hizo story mnahaditjiana nyinyi kwa nyinyi
Ila ulizeni boda anaepiga trip around city center na kwenye masoko makubwa hapo dar
Shida ya hao jamaa nyege ni kilo mbili kila wakati yaani haishukagi
😂 🤣 Kwanini uchawi jamaniKuna boda wapo chunya,itewe na NONDE-SUA wanamiliki nyumba zao,bodaboda zao wameoa na wanamaisha yao ila ni wachawi kinoma...
Tunawasaidiaje???Tatizo kubwa ni utumiaji hovyo wa vileo, visungura, Komando + energy.
Kabisa , ni kujipa tu umuhimu kwenye maisha ya watu
Yeah umewaza kama mimi, naunga mkono hoja yakoPunguza kujipa umuhimu kiasi cha kuona una weza I cover nafasi ya mwanaume kirahisi hivyo.
Vita ya mwanaume ni ngumu hasa sisi tulio anza sifuri, yaani una kabidhiwa jezi na mchezo hauja uelewa.
Kama kijana akiamua aka jipambanie kibinafsi, maisha ni rahisi ila ana anzaje akati nyumbani kukavu?
Picha lina anza nyumba ya kupanga, maza au faza mgonjwa, madogo 3 wana hitaji support.
Daily natoa heshima kwa ma bro, ma father wanao pambana kupeleka msosi mezani.
Wee acha ungese
View attachment 3574488
Nakubaliana na wewe na changamoto za mfumo zipo. Fursa sio nyingi kama inavyotakiwaSensa ya 2022 ilionesha 49% ya watz wako chini ya miaka 18.
Nafikiri kuna mahali nilisoma waliopo chini ya 35 ni 70%.
Kuna wategemezi wengi sana, na chini ya CCM nchi haikui.
Hawa wategemezi watakapofikia utu uzima huku fursa ni chache, maisha yatakuwa magumu sana.
Sio kwamba hawajipangi, hili ni suala la kimfumo.
Bwashee una amka asubuhi hakuna ramani, ila kama rambo una zamia porini ku force.Yeah umewaza kama mimi, naunga mkono hoja yako
Mkuu mbona unatukana tena 😂Punguza kujipa umuhimu kiasi cha kuona una weza I cover nafasi ya mwanaume kirahisi hivyo.
Vita ya mwanaume ni ngumu hasa sisi tulio anza sifuri, yaani una kabidhiwa jezi na mchezo hauja uelewa.
Kama kijana akiamua aka jipambanie kibinafsi, maisha ni rahisi ila ana anzaje akati nyumbani kukavu?
Picha lina anza nyumba ya kupanga, maza au faza mgonjwa, madogo 3 wana hitaji support.
Daily natoa heshima kwa ma bro, ma father wanao pambana kupeleka msosi mezani.
Wee acha ungese
View attachment 3574488