Myangu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 7,172
- 9,707
Mchele ndoo ikiwa kavu inatakiwa iwe inafungwa au ikae wazi nijulishe maana hapa nina kwangu kuna mchele.nina ndoo maalum za kutunzia vitu kama hivyo nahakikisha ndoo hazina maji na hua nahakikisha nikifunga mfuniko nakaza tena unga ukikaa sana dukani ndio unakuta ubafanya wadudu unga wa ngano ukiweka ndoo ikiwa na maji hali ni hiyo hiyo maharage ukihifadhi usifunike ndoo mchele hakikisha tu ndoo ni kavu bas