Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

nina ndoo maalum za kutunzia vitu kama hivyo nahakikisha ndoo hazina maji na hua nahakikisha nikifunga mfuniko nakaza tena unga ukikaa sana dukani ndio unakuta ubafanya wadudu unga wa ngano ukiweka ndoo ikiwa na maji hali ni hiyo hiyo maharage ukihifadhi usifunike ndoo mchele hakikisha tu ndoo ni kavu bas
Mchele ndoo ikiwa kavu inatakiwa iwe inafungwa au ikae wazi nijulishe maana hapa nina kwangu kuna mchele.
 
Watu wote if wangekua na moyo kama wa huyu member aiseh ukosefu wa ajira ungeishaa

Big up sana Bro!
 
Mkuu habari ya asubuhi
Hii idea ya mifuko ya kuuza migodini nimeipokea kwa mikono yote,mara nyingi biashara kama hizi huwa zinadharauliwa ,ila zinawatoa watu
Sasa ninaomba msaada jinsi ya kuipata,kwa sababu nahitaji kuthubutu hii kitu
Connection ya kupata hii mifuko please
 
Maduka ya rejareja yanayouza unga, ngano, sukari.
Bekari,mama ntilie au hoteli .
 
Back
Top Bottom