Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

Idea ni nzuri sana tatizo uthubutu
Thubutu kukutwa na bwana pepsi, hizi biashara zina kanuni sio kama tunavyowashana magari humu! Unafungwa mota na mtu ambaye yeye akifika wateja wanamkimbilia ikiwa wewe ni lazma uanze kuwapora wateja wake wahamie kwako!

Biashara inalipa ikiwa kwenye story kama hivi! Kuna msoto mkali wa awali huwa hiko kipengele mnakirukaga sijui kwanini yani.
 
Nikukumbushe tu kila biashara inalipa kwenye maelezo ila mambo kwa ground ni different!

Ndio maana Jebel amesisitiza umuhimu wa kufanya utafiti. Hii ni kama chachu au nguvu ya kukusukuma na kufungua akili.

Iko siku watu wataleta mrejesho wanachezea pesa na wengine watakuja kulalamika wamepigwa.

Kila jambo lina changamoto zake. Pole kwa mgao wa umaji.
 
yan tangu nisome hii thread bado sjajua navifanyaje na sjui hata รฑaanzia wapi
We mke wa mtu huwezi fanya hio shughuli ya kusafiri!

Hio inatufaa wajuba na kimsingi biashara ya kusafiri nipate faida ya 5000 au zaidi per unit! Vinginevyo wacha nibakie zangu nilipo.
 
We mke wa mtu huwezi fanya hio shughuli ya kusafiri!

Hio inatufaa wajuba na kimsingi biashara ya kusafiri nipate faida ya 5000 au zaidi per unit! Vinginevyo wacha nibakie zangu nilipo.
mimi sitaki kusafiri kabisa ningepata mtu anayevitaka ningempa mana kuna kuda naona kama uchafu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama ni hivo hana haja ya kuzunguka aende direct kwenye point nitampatia tu sababu sina kazi navyo

Unastahili wazee wa PGO weye si bure, hata baada ya hili somo baso unataka kutupa pesa?

Ila ukimpatia huto jamaa yangu halijaharibika neno, ni mhangaikaji mwenzangu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama ni hivo hana haja ya kuzunguka aende direct kwenye point nitampatia tu sababu sina kazi navyo
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mie sina mengi ila vijana ntawaagiza waje kufanya usafi!
 
Back
Top Bottom