Namna gani ya kutunza bastola?

Namna gani ya kutunza bastola?

kuna makava special yanayouzwa kwajil ya bastola cjajua yako ni aina gan lakn ayo makava unaitumbukiza ndan ya suruali afu ilo kava linabana hyo pistol isiweze kuanguka na njia nyingne kama unavaa suti kuna ki2 flan kimekaa kama saspenda unavaa upande wa kushoto unaweka pistol wa kulia unaweka magazin na m2 awez kujua kama unayo kabisa
 
Mkuu ume maliza kila kitu, aende kwa mafundi kushona walio mahiri
watamshonea kulingana na preference yake. Hasa kwa kuzingatia
kipengele namba 2 au 3. kama ulivyo pendekeza mahala pazuri pa kuweka.

1;Bastola yako ni aina gani, kubwa au ndogo?
2;Wewe ni jinsia gani,mke au mume?

Kama wewe ni jinsia ya kike nunua pochi maalumu au tengeneza kwa mafundi washona viatu vya ngozi, ambapo unaweza;
1.kuiweka usawa wa kiuno upande wa mkono
2.usawa wa tumbo na uke
3.kwenye mapaja
4.kati ya tumbo na maziwa

Pia unaweza kuongezea mkanda maalumu kama ile ya kufunga tumbo lisicheze ili uweze kuibana bastola yako isionekane

Ukiwa na pochi aina hizi nne utakuwa unazibadilisha kuendana na mavazi yako.
Kama bado hujanunua hiyo bastola na mavazi yako ni ya kubana ni bora ununue bastola iliyo ndogo kwa umbo.
 
Duuh! Mnaomiliki bastola mnajiweza kweli!
Na watanzania tunavyojua kukera hivi si unaweza jichumia dhambi ya mauaji jamani!!!
 
Me nataka kwa mwanaume jamani. Vifaa vya kutunza kwa mwanaume
 
1;Bastola yako ni aina gani, kubwa au ndogo?
2;Wewe ni jinsia gani,mke au mume?

Kama wewe ni jinsia ya kike nunua pochi maalumu au tengeneza kwa mafundi washona viatu vya ngozi, ambapo unaweza;
1.kuiweka usawa wa kiuno upande wa mkono
2.usawa wa tumbo na uke
3.kwenye mapaja
4.kati ya tumbo na maziwa

Pia unaweza kuongezea mkanda maalumu kama ile ya kufunga tumbo lisicheze ili uweze kuibana bastola yako isionekane

Ukiwa na pochi aina hizi nne utakuwa unazibadilisha kuendana na mavazi yako.
Kama bado hujanunua hiyo bastola na mavazi yako ni ya kubana ni bora ununue bastola iliyo ndogo kwa umbo.
Silaha ni ndogo. Na jinsia ni ya kiume
 
Kwa shepu kama hii ya kwako na uvaaji huu itabidi uchague moja,,,kubeba pistol au kupigilia hizo pamba.
430360.jpg
 
Habari zenu wanajamvi, naimani mko poa sana, kwa ambao hamko poa nawaombea kwa mungu awasaidie mrejee katika hali zenu.... Bila kupoteza muda niende kwenye swali langu la msingi, kama ukibahatika kumiliki bastola kihalali na uwe na vibali vyote inajulikana kuwa ni kosa kuiweka hadharani ikaonekana, au ukiwa umebeba ikaonekana. Je hakuna kifaa maalum ambacho unakivaa mwilini ili kuficha silaha yako KWA MWANAUME?? Ukizingatia Wengi wao wanavaa manguo ya kubana siku hizi, suruali na tshirt za modo. Au mashati ya modo. hivi hakuna kitu chochote labda unakivaa ndani ya nguo au sehemu yoyote ili ufiche silaha ukiwa barabarani unatembea isionekane ?????? Plz naombeni majibu yenu wanajamvi ili nijue. Kwa mwanaume avae kifaa gani ili afiche silaha yake. Ukizingatia inatakiwa kubebwa kila siku
Vaa bikin haitaonekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom