Huko alipo kumesha kucha njiro ya nu yok03:09AM subiri hadi badae tuamke
Loh, hebu omba msaada kwa Mshana JrNahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu.
Asanteni
Ongeza pilipili hoho, sukari kiasi,ndimu kiasi,kabeji usisahau na popcorn kidogo,,Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu.
Asanteni