Nimekuwa nikifikiria juu ya vijana ambao walikuwa ni wanamapinduzi wakubwa pale UDSM miaka ya hii ya 2000s...
Moja wa vijana hao ni Julius Mtatiro ambaye kwasasa anakitumikia chama cha CUF....
Naandika haya nikijua kuwa tumepoteza potential iliyokuwa ni manufaa makubwa kwa Taifa, kaingia chama kisicho na muelekeo, majungu kama taarabu ni kawaida yao.
Napenda kuwaomba wanaJF ambao mna ukaribu na huyu jamaa tumrudishe kundini haraka kabla ajaangamia milele...
hahahaUtamaliza machozi bure mkuu,he is lost achana nae!
Tuyasahau ya mtatiro na wengine ambao hawajatajwa TUIMARISHE CHAMA CHETU TUSONGE MBELE tusiwafikilie waliobaki nyuma, Watanzania watatuunga mkono na kwa Uweza wa Mungu tutazishinda fitina na siasa chafu zote.Mungu amempatia kila mtu akili sawa. Tunachotofautiana ni ule uwezo wa kutumia karama hii ya Mungu vizuri, na uwezo wa kuchambua mambo. Mtatiro kama mtanzania yeyote yule anayo haki ya kujiunga na chama chochote kadri ya matakwa yake. Kwani kwake CUF ni chama bora. "Ubora" huu unadhihirika pale kinapounga mkono CCM na sera zake na kuzorotesha upinzani. Mwanaharakati wa Marekani, marehemu Malcolm X alisema " Faint hearts never win decisive battles." akiwa na maana kuwa mioyo laini haiwezi kupigana vita mpaka ushindi. CUF wameishia njiani tuu. Na Baba Mandela alisema hivi " When the water starts boiling it is foolish to turn off the heat."akiwa na maana kuwa maji yanapoanza kuchemka ni upumbavu kuzima moto.
CUF wameamua kuzima moto wakati huu ambapo watanzania wengi wanadai haki, maendeleo, na hali bora ya maisha yao. Wameamua kujiunga na serikali ambayo miaka hamsini baada ya uhuru bado kuna matatizo makubwa ya umeme nchi nzima, matatizo ya maji nchi nzima, elimu, afya, miundo mbinu, ajira, ubadhilifu wa mali ya umma, rushwa, ufisadi, aaaaah orodha ni ndefu.
Naomba wananchi msameheni Julius Mtatiro. Iko siku atagundua makosa yake na kutubu na kurudi tena kwenye harakati za kuikomboa nchi hii kutoka katika mikono ya CCM.
Mungu ibariki Tanzania.
Hata mimi nashangaa mtiririko wa Ma alhaji ndani ya CCM
Maalhaji wote wa Bakwata
Alhaji Kikwete
Alhaji Kinana
Alhaji Mwinyi
Alhaji Karume
Alhaji Bilal
Alhaji Shein
Hajat Hawa Ghasia
Hajat Mwantum Mahiza
Hajat Amina Mrisho Said:
Vp ccm ni chama cha msikitini mkuu?
asiye na muelekeo ni wewe na si chama, huna muelekeo kwa kuwa hujui matatizo ya watanzania yametokana na nini, aidha wewe ni mbumbumbu, mshabiki au ni mtu ambaye unaangalia maslahi yako katika chama unachokishabikia na si nchi.
Kumbe hivi vyama vya siasa sio kwa kuwasaidia watanzania ni vyama vya kidini duu!
Masikini Tanzania yangu imezama kwenye udini sijui sisi tusiokuwa Waislama au Wakiristu, tutasaidiwa na nani? Watanzania wenzangu tuzinduke nchi wanataka kuigawana Magamba na Magwanda
Ni kweli, kijana amepoteza uelekeo kwa kujiunga na chama kisicho na future. Hata mimi namshauri; na bado hajachelewa, kujiunga na vyama vyenye mwlekeo wa kimaendeleo. Si Mtatiro tu, hata Nape ambaye anapoteza muda wake katika chama kilichopoteza mwelekeo, mvuto na mshiko kama CCM. Historia itamhukumu kwa kumsaliti baba yake aliyekufa akiuchukia ufisadi. Ama kweli gumugumu huzaa teketeke.Nimekuwa nikifikiria juu ya vijana ambao walikuwa ni wanamapinduzi wakubwa pale UDSM miaka ya hii ya 2000s...
Moja wa vijana hao ni Julius Mtatiro ambaye kwasasa anakitumikia chama cha CUF....
Naandika haya nikijua kuwa tumepoteza potential iliyokuwa ni manufaa makubwa kwa Taifa, kaingia chama kisicho na muelekeo, majungu kama taarabu ni kawaida yao.
Napenda kuwaomba wanaJF ambao mna ukaribu na huyu jamaa tumrudishe kundini haraka kabla ajaangamia milele...
Mimi naamini ni suala la muda tu mtatiro julius niliyesoma naye udsm najua iko siku atajoin wapambanaji wa kwel - chadema. Ni suala la muda tu.
Nani kasema Mtatiro kujiunga na waislam kapotea? Mtatiro yupo kwenye chama cha Mujahidin cha wale answaar sunna. Waliopo Ccm ni wale wa Bakwata. Upinzani wa CUF na CCM ni ubakwata na uanswaar sunna tu mambo mengine yote wanafanana
Kumbe hivi vyama vya siasa sio kwa kuwasaidia watanzania ni vyama vya kidini duu!
Masikini Tanzania yangu imezama kwenye udini sijui sisi tusiokuwa Waislama au Wakiristu, tutasaidiwa na nani? Watanzania wenzangu tuzinduke nchi wanataka kuigawana Magamba na Magwanda
saita-ke marmoboy .. Sayu.. Thread yako nimeipenda ila nilikuwa na-kaushauri kadogo.. Sitaki kuongelea uongozi "maziwa" wa vyuo vikuu. Kuwa mtazamo wako ni kila kitu ndani yako, sikupingi, ila kuna jambo ambalo nadhani mwandishi wa thread hii linamtatiza hasa kutokana na uwazi kwamba cuf kuna mkanganyiko ambao hakuna anayeutolea ufafanuzi.. Embu ona.. Katibu mkuu wa cuf ni makamu wa kwanza wa rais zanzibar.. Af then ccm ni moja, ya bara ni ya tanzania.. Ona simple logic, kama ccm wakiwa na kikao na kumwalika rais wa zanzibar akifungue, na rais akawa na dharula je makamu wake wa rais akitake over itakuwaje?? Halafu umoja wao huo haupo kwenye katiba ya ccm wala ya cuf.. Mtatiro angekuwa makini angegangamaa kuondoa utata huo, na cuf kingekuwa chama madhubuti tena kama kilivyokuwa miongo miwili iliyopita.
Sasa mwandishi wa thread anamwona mtatiro kama mchezaji mpira mahiri anayechezea timu ya mtaaani..
sio mujahidiniNahitaji kujua, Mtatiro nae ni Mujahidin? Kwa nini apate nafasi ya juu hivyo kwenye chama cha CUF?
really i also feel so sorry for this guyMungu amempatia kila mtu akili sawa. Tunachotofautiana ni ule uwezo wa kutumia karama hii ya Mungu vizuri, na uwezo wa kuchambua mambo. Mtatiro kama mtanzania yeyote yule anayo haki ya kujiunga na chama chochote kadri ya matakwa yake. Kwani kwake CUF ni chama bora. "Ubora" huu unadhihirika pale kinapounga mkono CCM na sera zake na kuzorotesha upinzani. Mwanaharakati wa Marekani, marehemu Malcolm X alisema " Faint hearts never win decisive battles." akiwa na maana kuwa mioyo laini haiwezi kupigana vita mpaka ushindi. CUF wameishia njiani tuu. Na Baba Mandela alisema hivi " When the water starts boiling it is foolish to turn off the heat."akiwa na maana kuwa maji yanapoanza kuchemka ni upumbavu kuzima moto.
CUF wameamua kuzima moto wakati huu ambapo watanzania wengi wanadai haki, maendeleo, na hali bora ya maisha yao. Wameamua kujiunga na serikali ambayo miaka hamsini baada ya uhuru bado kuna matatizo makubwa ya umeme nchi nzima, matatizo ya maji nchi nzima, elimu, afya, miundo mbinu, ajira, ubadhilifu wa mali ya umma, rushwa, ufisadi, aaaaah orodha ni ndefu.
Naomba wananchi msameheni Julius Mtatiro. Iko siku atagundua makosa yake na kutubu na kurudi tena kwenye harakati za kuikomboa nchi hii kutoka katika mikono ya CCM.
Mungu ibariki Tanzania.
ni mapitio tu cuf inapita bado cuf ina nguvu nitofauti na vyama vingine kabisa watu wanaona imekwisha kumbe nguvu inayo na bado ipo. Na si kama inaunga mkono ccm. Kuna watu wanaomba kila siku cuf iangamie. La wana kosea hawa hawajui kilichomo. So mtatiro watu wanatamani ahame chama ahamie Cdm au chama kingine ila siyo CUF,jamani leo mnaona uingereza kiongozi wa lebdem angehamia basi labour au consevertive hatusikii viongozi wao kuhama. Iwe marekani pia.
Mkuu, na mimi napata tabu! Hivi mpaka uwe kiongozi wa kanisa ndio unapata nafasi ndani ya CDM!
Mifano hawa wachungaji, Mchungaji Peter Msingwa, Mchungaji Israel Natse, Padre Slaa, sasa hawa si wanawakilisha tu, sifa yao kubwa kuwa viongozi wa Kanisa. Mkuu hapa ni ngumu sana kutofautisha Kanisa na CDM