Namleta kwenu mwalimu wa Falsafa mwenye degree 4 asieonywa na darasa la saba

2199102_FB_IMG_1560601550917.jpg
 
Akumbuke Bill Gates aliacha shule na sasa ni nibilionea na mtoa msaada mkubwa.Magenius wapo wengi hata kama mtu kaishia la saba bado anamchango mkubwa kwenye jamii.
 
Unamliganisha Bill Gates na darasa la saba. Wacha kujifariji huyo unayesema aliacha shule ambayo ni chuo tiyari alikuwa na start up ambayo aliianzia chuo na aliipata kwa kufundishwa. Alielewa hizi kompyuta, hakutoka anajua kusoma na kuandika tu akawa bilionea. Sema tu haku-graduate ili kupata cheti.
 
Ume elezea vizuri. +yeye aliacha havard. Akiwa.na idea ya biashara tayari
Sasa huku kibongo bongo.. acha chuo bila.mipango.uone moto wa kitaa ulivyo
 
Kuna kusoma na kuelimika. Huyo mzee ameishia kusoma maandishi na kupata makaratasi halafu anataka kujifanya mjuaji. Watu wa Kyela wamemwelewesha ipasavyo na mavyeti yake.
 
Ujivuni wa kupindukia. Inawezeka hapo alikuwa ameshahonga sana wajumbe akitegemea atamchagua tu. Kura siri ya mtu wakomnyoosha vizuri kabisa. Akafundishe hivyo vyuo vikuu sasa Nyambafu zake.
 
Akumbuke Bill Gates aliacha shule na sasa ni nibilionea na mtoa msaada mkubwa.Magenius wapo wengi hata kama mtu kaishia la saba bado anamchango mkubwa kwenye jamii.
Wacha kudanganywa na Inspirational speaker ndugu, Bill Gates alisoma the Best School toka akiwa mtoto, Babu yake Tajiri baba Tajiri mama Tajiri
 
Back
Top Bottom