Mahunda Jr
Member
- Apr 5, 2020
- 30
- 25
Wandugu kuna ndugu yangu ananisumbua kuhusu Matokeo ya darasa la Saba.
Eti ni kwel Matokeo yametoka mana ananisumbua nimwangalie mtoto wake na mm nimejitahid kutafuta nimeshindwa