Matokeo yametoka?Nimepitia matokeo ya darasa la Saba shule za serikali zinazofundisha Kwa mtaala wa kiingereza zimekuwa zikifanya vizuri, Sasa kama watoto lugha ya kiingereza wanaielewa kwa urahisi kwanini tusitumie huu mtaala Kwa shule zote?
Hizi shule zipo facilitated sanaNimepitia matokeo ya Darasa la Saba shule za serikali zinazofundisha Kwa mtaala wa Kiingereza zimekuwa zikifanya vizuri, Sasa kama watoto lugha ya Kiingereza wanaielewa kwa urahisi kwanini tusitumie huu mtaala Kwa shule zote?
Tulia Axon alisema kama watoto wote watafaulu nani watafanya kazi zingine za mitaani kama kuchimba mashimo nkNimepitia matokeo ya Darasa la Saba shule za serikali zinazofundisha Kwa mtaala wa Kiingereza zimekuwa zikifanya vizuri, Sasa kama watoto lugha ya Kiingereza wanaielewa kwa urahisi kwanini tusitumie huu mtaala Kwa shule zote?
Tetea pingamizi lako..Napinga hoja