Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Mwaka 1982 hadi 1983, Rais Magufuli alikuwa Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati.
Kwa wale mliobahatika kufundishwa na JPM mje hapa mtueleze uwezo wake wa kufundisha ulikuaje?
Je, alipendelea kutumia lugha gani kati ya kisukuma na kiswahili?
Na ni kwanini alifundisha kwa mwaka mmoja tu?