Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,157
- 2,078
Mi napenda Sana Amplifier awepo Millard Ayo na Mina Ally huwa sikai mbalii ndani ya wao wanavyo tangazaa
Mara ya mwisho kuwasikia wakiwa wote ni lini?Mi napenda Sana Amplifier awepo Millard Ayo na Mina Ally huwa sikai mbalii ndani ya wao wanavyo tangazaa
Kweli kitambo kidogo ndugu koz siko TzMara ya mwisho kuwasikia wakiwa wote ni lini?
Kwahiyo mkuu ukiwa nje ya bongo huwezi kusikiza redio ili kupata content za nyumbani?Kweli kitambo kidogo ndugu koz siko Tz
Naweza ila time ndo ishu.Kwahiyo mkuu ukiwa nje ya bongo huwezi kusikiza redio ili kupata content za nyumbani?
Meena hayupo tena,walimtoa maana alikuwa anapiga tu kelele na kumfanya Millard asiwe comfortableNaweza ila time ndo ishu.
Unaweza nijuza vipi Amplifier ya Millard na Amina imepotea....?
Daah achaaaMeena hayupo tena,walimtoa maana alikuwa anapiga tu kelele na kumfanya Millard asiwe comfortable
sijasikiliza Radio nina muda kweli,kama meena wamemtoa yule dada Sijui atakua aliumia kiasi gani siku anapewa hiyo taarifa maana mtetezi wake Marehemu Ruge ndio hayupo tena,nani wakumtetea tena?!Meena hayupo tena,walimtoa maana alikuwa anapiga tu kelele na kumfanya Millard asiwe comfortable
Yupo XXL now, so sio kesi sana kwake i guess..Namkubali sana akiwa serious,ila akianza kujichetua namwona wa hovyo maana hana kijapi cha comedy anachodhani anachosijasikiliza Radio nina muda kweli,kama meena wamemtoa yule dada Sijui atakua aliumia kiasi gani siku anapewa hiyo taarifa maana mtetezi wake Marehemu Ruge ndio hayupo tena,nani wakumtetea tena?!
najaribu kumvutia picha nadhani hana la kusema kila kitu anamwachia tu Mungu saivi.
Nilikuwa na uwezo wa kmsiliza Lady haha na Jim kabwe for more than 4 hrs ktk choice in the morningHuyu dada..anatangaza vizuri jamani..yaani napenda sana anavyotangaza "African wired"
Yaaani i like her confidence na jinsi alivyo a swagger za kipekee kabisa..
Kong'ole kwako ladyhaha
View attachment 1611379
La kwanza naunga mkono..Anatangaza vizuri..
Ila Dada mzuri huyu khaaa
Hawa jamaa walikua ni shida....sijui why walifanya choice kua ya kiswahiliNilikuwa na uwezo wa kmsiliza Lady haha na Jim kabwe for more than 4 hrs ktk choice in the morning
Mkuu hebu nilipe kwa usumbufu ulionisababishia. Nimelazimika kuangalia picha, nimezooooom kabisa ili niuone uzuri unaouzungumzia lakini holaa..Anatangaza vizuri..
Ila Dada mzuri huyu khaaa