Namkubali sana Ladyhaha wa Clouds Media

Meena hayupo tena,walimtoa maana alikuwa anapiga tu kelele na kumfanya Millard asiwe comfortable
sijasikiliza Radio nina muda kweli,kama meena wamemtoa yule dada Sijui atakua aliumia kiasi gani siku anapewa hiyo taarifa maana mtetezi wake Marehemu Ruge ndio hayupo tena,nani wakumtetea tena?!

najaribu kumvutia picha nadhani hana la kusema kila kitu anamwachia tu Mungu saivi.
 
Yupo XXL now, so sio kesi sana kwake i guess..Namkubali sana akiwa serious,ila akianza kujichetua namwona wa hovyo maana hana kijapi cha comedy anachodhani anacho
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom