Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,728
Ndio unataka kumaanisha nini?You forgotten to say that its population is estimated 2 millions
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unataka kumaanisha nini?You forgotten to say that its population is estimated 2 millions
Aisee! Huko kunafaa kuishiAfu nasikia hata mademu wao hawana roho mbaya
nisikukamateJiwe ni kivuruge
idadi ya watu sio hoja, kuna nchi africa wana raia wachache kuliko hao 2.5M wa Namibia na bado masikini.
idadi ya watu sio hoja, kuna nchi africa wana raia wachache kuliko hao 2.5M wa Namibia na bado masikini.
Hivi unajua Namibia ina watu wangapi?
Jibu sahihi kabisa hili mkuu.Shida ya kwetu hapa, mwanasiasa anaakili kuliko watu wote. Wengine wote wajinga tu.
Kuna Wabongo wamehamia huko wala hawana mpango wa kurudi bongo labda kuja kutembea na huu udikteta unavyoshamiri kuna waliokuwa wanatia mguu kila mwaka sasa wanataka kuskip at least mwaka. Dikteta anaivuruga nchi kwa speed kubwa sana.
Hivi unajua Namibia ina watu wangapi?
nchi zenye asili ya ujangwa huwa hazina watu wengi.. na ukiwa na watu wachache, ni rahisi ku manage nchi.. so imagine una 2.5 million people na unauza Diamonds.
Huu ndio ukweli watu ni mtaji na vivile ukiwa na nchi kubwa ni mtaji piaMkuu utajiri wa kwanza duniani ni watu ... mkiona mko watu wengi halafu mmeshindwa kuliletea maendeleo taifa basi mnapaswa kujikosoa
Nyerere alisema .ili nchi iendelee inahitaji watu .ardhi .siasa safi ............. nyingine malizia mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
kitambulisho cha mmachinga sawa... ukitaka kwenda kujisaidia 200/= usafi wa soko 200 kwa siku. mlinzi 200 kwa siku . yupo mpuuzi mmoja anasema amewapunguzia kero wanyongeWaingereza wasingewaondoa Wajerumani na Tanganyika ingekuwa kama Namibia. Wajerumani walitukata kodi ya kichwa lakini tuliona maendeleo.
Sasa tunakatwa kitambulisho cha mmachinga wakati maji hakuna, shule watoto 100+ darasa moja na shule nzima ina walimu wanne.