Namibia is the best Country in Africa

Namibia has better roads than the UK, Australia, Belgium and Italy according to WEF.

It also ranks higher than USA in Press Freedom.

Its Economy has a perfect AAA grade rating.

It has Africa's best roads, 2nd best Judiciary, 2nd best airline (Air Namibia),

4th best Government.

*****

African Fact Zone

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ndio kwa kwenda kuishi
 
Waingereza wasingewaondoa Wajerumani na Tanganyika ingekuwa kama Namibia. Wajerumani walitukata kodi ya kichwa lakini tuliona maendeleo.

Sasa tunakatwa kitambulisho cha mmachinga wakati maji hakuna, shule watoto 100+ darasa moja na shule nzima ina walimu wanne.
 
Kuna Wabongo wamehamia huko wala hawana mpango wa kurudi bongo labda kuja kutembea na huu udikteta unavyoshamiri kuna waliokuwa wanatia mguu kila mwaka sasa wanataka kuskip at least mwaka. Dikteta anaivuruga nchi kwa speed kubwa sana.

Namibia has better roads than the UK, Australia, Belgium and Italy according to WEF.

It also ranks higher than USA in Press Freedom.

Its Economy has a perfect AAA grade rating.

It has Africa's best roads, 2nd best Judiciary, 2nd best airline (Air Namibia),

4th best Government.

*****

African Fact Zone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona shule watoto wa the so called viongozi hawatii mguu basi ujue ni shule HEWA lakini mazwazwa watamsifia kivuruge kwamba kaleta elimu bure in reality he brought us ELIMU HEWA.

Waingereza wasingewaondoa Wajerumani na Tanganyika ingekuwa kama Namibia. Wajerumani walitukata kodi ya kichwa lakini tuliona maendeleo.

Sasa tunakatwa kitambulisho cha mmachinga wakati maji hakuna, shule watoto 100+ darasa moja na shule nzima ina walimu wanne.
 
Namibia has better roads than the UK, Australia, Belgium and Italy according to WEF.

It also ranks higher than USA in Press Freedom.

Its Economy has a perfect AAA grade rating.

It has Africa's best roads, 2nd best Judiciary, 2nd best airline (Air Namibia),

4th best Government.

*****

African Fact Zone

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi unajua Namibia ina watu wangapi?
 
Back
Top Bottom