hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,264
Hahaa na kichaa juu wanakipataNamibia ikipewa Jiwe ni wiki moja tu Wanamibia watakuwa wamevurugwa!!!
Mkuu utajiri wa kwanza duniani ni watu ... mkiona mko watu wengi halafu mmeshindwa kuliletea maendeleo taifa basi mnapaswa kujikosoaHivi unajua Namibia ina watu wangapi?
Sana tu huo ndio ukweli hata South Africa washukuru hao jamaa wangeondoka 60's kama kwetu wangekuwa kama Tandale tuWashukuru kutawaliwa na mabeberu hadi mwaka 90.
Namibia has better roads than the UK, Australia, Belgium and Italy according to WEF.
It also ranks higher than USA in Press Freedom.
Its Economy has a perfect AAA grade rating.
It has Africa's best roads, 2nd best Judiciary, 2nd best airline (Air Namibia),
4th best Government.
*****
African Fact Zone
Sent using Jamii Forums mobile app
penda nchi yako
ha ha ha umefanya nimecheka kwa nguvu kwa watuHiyo ndio Nchi ya kuishi sio kama hii ya CCM na Jiwe lake,laanatul
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha haNamibia ikipewa Jiwe ni wiki moja tu Wanamibia watakuwa wamevurugwa!!!
So, haujui kama wingi ni mtaji. Uchache wao hauna uhusiano na maendeleo yao na uzuri/ubora wa infrastructure zao, nchi ngapi duniani zijajisifu kwa rasilimali watu kuwa ndiyo mtaji wao?Sisi tunashindwa nini kutumia mtaji huo.Hivi unajua Namibia ina watu wangapi?
Hao watakua mitamba nn[emoji23][emoji23]Washukuru kutawaliwa na mabeberu hadi mwaka 90.
Mshenzi sana ww, si uhame.Hiyo ndio Nchi ya kuishi sio kama hii ya CCM na Jiwe lake,laanatul
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe mabeberu wakirudi leo hii bongo hakika kutakuwa kuzuri[emoji41][emoji41][emoji41]Washukuru kutawaliwa na mabeberu hadi mwaka 90.