Namibia is the best Country in Africa

Namibia is the best Country in Africa

Waingereza wasingewaondoa Wajerumani na Tanganyika ingekuwa kama Namibia. Wajerumani walitukata kodi ya kichwa lakini tuliona maendeleo.

Sasa tunakatwa kitambulisho cha mmachinga wakati maji hakuna, shule watoto 100+ darasa moja na shule nzima ina walimu wanne.
[emoji85][emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waingereza wasingewaondoa Wajerumani na Tanganyika ingekuwa kama Namibia. Wajerumani walitukata kodi ya kichwa lakini tuliona maendeleo.

Sasa tunakatwa kitambulisho cha mmachinga wakati maji hakuna, shule watoto 100+ darasa moja na shule nzima ina walimu wanne.
Ili hayo yarekebishwe ni lazima tulipe kodi hata km utaita ya kichwa au kiuno maendeleo hayaji kwa kutegemea bali kwa kujitegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namibia has better roads than the UK, Australia, Belgium and Italy according to WEF.

It also ranks higher than USA in Press Freedom.

Its Economy has a perfect AAA grade rating.

It has Africa's best roads, 2nd best Judiciary, 2nd best airline (Air Namibia),

4th best Government.

*****

African Fact Zone

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mia kwa mia .hii ni moja ya nchi iliyopata uhuru kwa vita lakini imetulia kwa kila kitu.nakupa like ya maneno.
Makaburu waliondoka baada ya kufanyiwa kitu mbaya sana na Wacuba waliokua wamejikita angola wakiwasaidia wapigania uhuru wa namibia na wazalendo wa angola wakipambana na makaburu na UNITA ,huku sam nujoma rais wa kwanza wa nchi hiyo akiishi Tanzania kama mkimbizi mpigania uhuru.
 
idadi ya watu sio hoja, kuna nchi africa wana raia wachache kuliko hao 2.5M wa Namibia na bado masikini.
Umemjibu vizuri kbs unaweza kuwa na idadi kubwa sana ya watu nusu ya wakazi wa dunia hii na ukapewa pia rasilimali nyingi sana na ukaiendeleza nchi yako ,unaweza ukapewa watu wengi na rasilimali nyingi ukashindwa kuiendeleza nchi yako .Tanzania tuna kila kitu hadi rasilimali amani.
 
Namibia has better roads than the UK, Australia, Belgium and Italy according to WEF.

It also ranks higher than USA in Press Freedom.

Its Economy has a perfect AAA grade rating.

It has Africa's best roads, 2nd best Judiciary, 2nd best airline (Air Namibia),

4th best Government.

*****

African Fact Zone

Sent using Jamii Forums mobile app

UMEFUNGUWA KANISA LAKO HUKO ?? 😛😛😛😛😛
 
Mkuu utajiri wa kwanza duniani ni watu ... mkiona mko watu wengi halafu mmeshindwa kuliletea maendeleo taifa basi mnapaswa kujikosoa

Nyerere alisema .ili nchi iendelee inahitaji watu .ardhi .siasa safi ............. nyingine malizia mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio watu tu rasilimali watu
Hata muwe 100 millions mtatawaliwa na nchi kama Rwanda kwa sababu ya elimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom