FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Mbona China ina billion population lakini nimekuzidi pia?Hivi unajua Namibia ina watu wangapi?
Nigeria je? Hahahahaa eti population
Mbona China ina billion population lakini nimekuzidi pia?Hivi unajua Namibia ina watu wangapi?
Sio hilo tu mkuu,hawa wana mafuta na wanayatumia vizuri...Washukuru kutawaliwa na mabeberu hadi mwaka 90.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiwe ni kivuruge
Nyie nini kiliwafanya muwafukuze Mabeberu kabla hawajawaletea maendeleo?Washukuru kutawaliwa na mabeberu hadi mwaka 90.
Jiwe ana roho ya uharibifu na uSadistNamibia ikipewa Jiwe ni wiki moja tu Wanamibia watakuwa wamevurugwa!!!
Unataka kusemaje wewe Mzee uliefilisika kifikra sababu ya tumbo?ukitaka kuleta kisingizio cha Population embu tuambie sisi tuna watu wangapi kulinganisha na Nchi kama Malaysia, Indonesia ambazo miaka ya 60s tulikuwa katika level Moja ya umasikini lakini leo wapo mbali pamoja na population yao kuzidi yetu. Tatizo ni CCM na Serikali yake plus watu kama wewe mnaojifanya Wasomi badala ya kutetea maslai ya Taifa mnatetea maslai ya kikundi kichache kinachoitafuna Nchi.Hivi unajua Namibia ina watu wangapi?
Huyo Mzee haoni hata aibu yaani,hapo anataka kutetea ujinga wa CCM kututawala miaka 50+ na hakuna chochote kikubwa walichofanyaidadi ya watu sio hoja, kuna nchi africa wana raia wachache kuliko hao 2.5M wa Namibia na bado masikini.
Huyo Mzee anatia kinyaa sana,hana aibu kabisa.Mbona China ina billion population lakini nimekuzidi pia?
Nigeria je? Hahahahaa eti population
Sisi tuna madini,gesi,udongo mzuri,bahari,mito na maziwa but still umasikini ndio unaongezekaSio hilo tu mkuu,hawa wana mafuta na wanayatumia vizuri...
Vipi Jamhuri ya Africa ya Kati mbona wao low population na wana madini mengi plus mafuta lakini ni masikini wakutupwa.nchi zenye asili ya ujangwa huwa hazina watu wengi.. na ukiwa na watu wachache, ni rahisi ku manage nchi.. so imagine una 2.5 million people na unauza Diamonds.
Sisi ccm wanatutawala lakini hata kutengeneza mitaro ya maji machafu hapo kwa Mtogole hawaweziWashukuru kutawaliwa na mabeberu hadi mwaka 90.
Kwa mtogole mbali sana nenda katikati ya Jiji Posta na Kariakoo ukakanyage maji ya mavi mchana kweupe kabisa.Sisi ccm wanatutawala lakini hata kutengeneza mitaro ya maji machafu hapo kwa Mtogole hawawezi
Hivi unajua Namibia ina watu wangapi?
Wewe unatawaliwa na CCM hadi karne ya 21??Washukuru kutawaliwa na mabeberu hadi mwaka 90.
Dogo kakojoe ukalale usiku huu..