Namibia is the best Country in Africa

Namibia is the best Country in Africa

Mkuu utajiri wa kwanza duniani ni watu ... mkiona mko watu wengi halafu mmeshindwa kuliletea maendeleo taifa basi mnapaswa kujikosoa
Nyerere alisema .ili nchi iendelee inahitaji watu .ardhi .siasa safi ............. nyingine malizia mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app

Panya wengi hawachimbi shimo
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Waingereza wasingewaondoa Wajerumani na Tanganyika ingekuwa kama Namibia. Wajerumani walitukata kodi ya kichwa lakini tuliona maendeleo.

Sasa tunakatwa kitambulisho cha mmachinga wakati maji hakuna, shule watoto 100+ darasa moja na shule nzima ina walimu wanne.
 
Yap hilo bonge la nchi
Kwa waliyofika wanatambua

Ova
 
Waingereza wasingewaondoa Wajerumani na Tanganyika ingekuwa kama Namibia. Wajerumani walitukata kodi ya kichwa lakini tuliona maendeleo.

Sasa tunakatwa kitambulisho cha mmachinga wakati maji hakuna, shule watoto 100+ darasa moja na shule nzima ina walimu wanne.
Waingereza ndio wametufundisha kupiga mastory badala ya kufanya kazi. Sasa hivi yanawatokea puani. Mambo yamekuwa magumu wakafikiria dawa ni kujitoa umoja wa Ulaya. Wako kwenye tighy spot....hawawezi kumeza wala kutema
 
Mimi huwa nawashanga mnaoisifia kila siku Kigali kwamba ni mji msafi Africa hahahaha windhoek acha kabisa wale jamaa ni wa safi hukuti takataka yeyote,Majengo yote ni masafi ,magari yote ni masafi hadi watu niwa safi tulienda kupeleka mzigo sehemu moja kuna gereza kunaitwa orwakaptiwalongo lile gereza ni safi wafungwa ni wa safi acha bwana Namibia sio mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka tutaftane naitaji kuamisha kambi nipe good information kuhusu Namibia.
 
Back
Top Bottom