Pole sana, fanya tu kile kilicho moyoni.WanaJF
Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.
Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.
Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.
Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Moto huyo anamchukiaje mama yake ilhali wengine wanatamani hata huyo mama na hayupo!Hii fire inamaanisha Nini hope?
sikuwa na maana ya wewe in person, ila humu kwenye mijadala vijana wanaimba kabisa kwamba hawataki kushughulikia wazee wao wawachwe na maisha yaoNilisema wapi?
Mim watoto wangu kwanza kama hupendi watoto wangu hata sura yangu au harufu yangu hutoisikia
Kama wazazi hawajakulea unategemea Nin?sikuwa na maana ya wewe in person, ila humu kwenye mijadala vijana wanaimba kabisa kwamba hawataki kushughulikia wazee wao wawachwe na maisha yao
WanaJF
Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.
Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.
Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.
Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Wwe una kisonono cha kuchukia wanaume bila sababu ya msingi! Sasa hapo ni wapi mleta maada kasema baba yake alimtelekeza!? Wakati hadi ada za shule alikua analipa baba.yao japokua alikua anaishi kwa bibi yake!!Mpendee mama yako tu kakuzaa hajakutupa , baba yako alikutelekeza so hakuwa na jinsi
Na ndiyo maana wanawake wengi hupenda kusingizia mimba wanaume, maana wanajua kua akisema ukweli kua hii siyo mimba yako hakuna mwanaume atakubali kulea mimba au mtoto wa mwanaume mwenzie!!Mwanao atatakiwa na uliyezaa naye tu.
Haya kwanini hawapo together kama familia mnapenda sana kuchukuia wanawakeWwe una kisonono cha kuchukia wanaume bila sababu ya msingi! Sasa hapo ni wapi mleta maada kasema baba yake alimtelekeza!? Wakati hadi ada za shule alikua analipa baba.yao japokua alikua anaishi kwa bibi yake!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Ina maana hapo angekubali ubaki na Mzee wa kambo wewe ndio ungekuw Mke wake sasa.. daah
Ashukuru Sana hajaolewa na Bab wa kambo yeye analeta pigo za ajabuUkikua utaelewa Mama asingeweza kumuacha mumewe kikubwa alikupeleka kwa Bibi na ukapata malezi bora, angalau mshukuru kwa kukuzaa.
baba wa kambo alikuwa anajaribu kuweka msisitizo wa kitu (yaani alijua lazima mtoto ataondoka)Kwahiyo mama yako angeondoka ungebaki wewe badala ya mama yako? Baba yako wa kambo was he serious?
Yaani!kweli 🔥Moto huyo anamchukiaje mama yake ilhali wengine wanatamani hata huyo mama na hayupo!
HakikaMlaumu baba yako kwa kuachana na mama yako mkateseka nyie.