Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,975
- 13,434
Pole sana ndugu kwa mtihani huo
Nalog off
Nalog off
Hiyo sentensi ya kwanza Umeongea ushenzi na upuuzi kabisa.huenda na Tigo wamekula aiseeh!
lakini nikutie moyo tu! ichukie tabia yake lakini usimchukie yeye!
wakati mwingine ubongo ukivurugwa binadam hufanya mambo ya ajabu!! Tafta mbinu nyingine ya kuitokomeza hiyo tabia;
huenda ana pepo kivuruge huyo!
Na huyo akiacha pombe atakufa! maana pombe ishakuwa addiction na misuli ya damu, mfanyieni sobbing na maombi
hivi kutaja mtandao Wa simu unaongezaje maumivu? mbona nimetumia tafsida iliyopoa kabisa!Please naomba ufute sentensi yako ya kwanza. Mleta mada kaja kutafuta faraja na ushauri. Usimzidishie maumivu.
Tafadhali sana, naomba ufute
hivi kutaja mtandao Wa simu unaongezaje maumivu? mbona nimetumia tafsida iliyopoa kabisa!Hiyo sentensi ya kwanza Umeongea ushenzi na upuuzi kabisa.
huenda na Tigo wamekula aiseeh!
lakini nikutie moyo tu! ichukie tabia yake lakini usimchukie yeye!
wakati mwingine ubongo ukivurugwa binadam hufanya mambo ya ajabu!! Tafta mbinu nyingine ya kuitokomeza hiyo tabia;
huenda ana pepo kivuruge huyo!
Na huyo akiacha pombe atakufa! maana pombe ishakuwa addiction na misuli ya damu, mfanyieni sobbing na maombi
Yasikie na kuyaona kwa mwenzio. Mwandishi ana uchungu sana, anahitaji unasihi (counselling), namna ya kuhimili hayo yanayomkuta. Nakusini usimchukie mana atazidi kujihisi kukataliwa na hivyo kutegemea pombe na kuendelea na hayosiku maovu. Mpendeni na kuendelea kumshawishi kwa upendo na kutumia viongozi wa dini pia, ipo siku Mungu atambadilisha, mana hata ukimchukia huwezi mbadilisha hata ukisema bora afe bado hutapata mbadala. Pole sana jipe moyo utayashindaMtafutieni Mume wa kumshughulisha
Wakuu habari zenu,
Inawezekana hili ni jambo ambalo linaonekana kama ni gumu sana, lakini nisiwe mnafiki, maisha yangu yote sijawahi kuuonja upendo wa mama.
Nyumbani tuko wa tano, mimi ni wa nne, na kaka zangu wote wameshaoa. Nyumbani niko mimi na mdogo wangu wa kike.
[emoji33] [emoji33]Sura IPO IPO kidogo?
Da unashida kubwa sana kwenye ubongo tatizo lako ni kubwa kuliko ulevi.tigo inahusika vipi hapo?,onana na wataalamu waondoe vumbi,moshi na buibui kwenye ubongo.huenda na Tigo wamekula aiseeh!
lakini nikutie moyo tu! ichukie tabia yake lakini usimchukie yeye!
wakati mwingine ubongo ukivurugwa binadam hufanya mambo ya ajabu!! Tafta mbinu nyingine ya kuitokomeza hiyo tabia;
huenda ana pepo kivuruge huyo!
Na huyo akiacha pombe atakufa! maana pombe ishakuwa addiction na misuli ya damu, mfanyieni sobbing na maombi
Ww jamaa wwWakuu habari zenu,
Inawezekana hili ni jambo ambalo linaonekana kama ni gumu sana, lakini nisiwe mnafiki, maisha yangu yote sijawahi kuuonja upendo wa mama.
Nyumbani tuko wa tano, mimi ni wa nne, na kaka zangu wote wameshaoa. Nyumbani niko mimi na mdogo wangu wa kike.
Mama yetu ni mlevi wa kupindukia, analewa siku nzima, mara nyingine analala kwenye vilabu vya pombe watu wanamuokota wanamrudisha nyumbani, au wakati mwingine analala nje mpaka asubuhi.
Hapa mtaani wameshamjua kwa tabia zake mbovu na matendo mengi sana ya aibu anayoyafanya, mpaka kufikia wakati anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na watoto wadogo wa kuwazaa kabisa. Ameshafumaniwa kwenye majumba ya watu akifanya mapenzi na walevi wanaomuokota vilabuni akiwa amelewa na kwenda kumfanyia mambo mabaya.
Baba yetu alishafariki tangu mwaka 2013 kwa maradhi ya kisukari, jambo lililofanya mama yetu kupata mwanya wa kufanya mambo ya ajabu, ya ajabu, ya ajabu na ya kutisha!
Kipindi baba yetu yuko hai, alikuwa anagombana vibaya sana na mama kwasababu ya ulevi wa mama na mambo yake ya kushindwa kulea familia mpaka ikafika kipindi baba akahama nyumbani akaenda kupata mwanamke mwingine!
Baada ya kifo cha baba yetu, tulipata mirathi ambayo inaingia kwenye akaunti ya mama yetu kwa awamu kila mwezi.
Fedha hizi za mirathi ndizo anazotumia kufanya ulevi na umalaya wa kutisha na walevi wenzake.
Kila mara anarudi nyumbani amepigwa, amechaniwa nguo na kudhalilishwa na hao waume zake wasiojulikana.
Kiufupi mama yetu amegeuka dampo la kila mlevi kumfanyia uchafu.
Tumeshamkanya na kumuweka vikao vya familia zaidi ya mara mia moja lakini hasikii lolote.
Mimi ni mwanachuo, na nilipopata likizo nikasema ngoja niende nyumbani nikawasalimu kidogo. Lakini matokeo yake nimekutana na mambo ya kutisha na kuniumiza sana moyo wangu.
Imefika wakati mpaka napatwa na ghadhabu na kuanza kurudishiana nae maneno makali. Matokeo yake ananitukana sana na kunilaani.
Namchukia sana mama yangu!
Yaani Sijui kwa nini inapofikia mjadala juu ya wazazi watu tunakuwa wanafiki na vitisho...mata utapata laana, sijui mikosi lakini hawasemi na kupima jinsi MOYO unavyoumia mzazi anapogeuka msaliti juu ya familia.... Just imagine mzazi anageuka fadheha juu ya jamii na watoto kutokuheshimika na jamii sababu ya mzazi......watoto waheshimuni wazazi wenu na wazazi msiwaingize watoto wenu kwenye majaribuComment nyingi zinashauri umpende lakini wanasahau kuwa upendo hutengenezwa kama vile ilivyo kwenye uzalendo. Acheni kitu inaitwa moyo. Huwezi kuwa mnafiki kwenye moyo na masuala muhimu kama wazazi
Rubbish ungekaa kimya angalaoMtafutieni Mume wa kumshughulisha