Km wewe ni mkristo, kwa kauli yako hadi sasa ushatenda dhambi bana. Biblia inatusihi kuheshimu baba na mama upate siku za kuishi duniani....kwahiyo mkuu unaweza ukafa kabla ya mama yako kuwa makini sana.
Ukiacha mapungufu ya mama yako na aibu anayoionyesha kwa umma, cha kwanza endelea kumheshimu pili kuwa karibu naye kujua nini kinamsumbua, akina mama hubeba vitu vingi sana vibaya kwenye mioyo yao tena hukaa navyo kwa muda mrefu. Sasa ww jaribu kuwa naye karibu, ikiwezekana akitaka kwenda kwenye pombe hakikisha unapokonya pesa alizonazo zote tumia hata nguvu ili aende bila pesa😛😛😛.....
Ongeeni naye vizuri kwa mapana akiwa bado hajalewa, mkishindwa kufanya hivyo mtampoteza haloo!