King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,100
- 98,419
Maziwa ya nguruwe yanamfanya nini mkuu? Dadavua wengine ni chapombe tunataka tuache.brother tafuta maziwa ya ngurue mchanganyie kwnye pombe bila kujua hatokunywa pombe tenaaa

Ni vizuri jaribu kujadili na ndugu zako kwa pamoja muweke mikakati ya namna ya kutatua hilo tatizo,wakikuunga mkono itakuwa poa,ikiwa tofauti pambana na maisha yako ikiwezekana uwe mbali na wanakoishi wazazi wako;ukipambana peke yako na wewe si ajabu ukapoteza mwelekeo.Tunaelewana tu vizuri mkuu japo wenzangu wako kwenye miji yao mikoani. Umbali ni changamoto.
Majibu mengine ni bora kunyamaza. Wewe unaweza kumtafutia mamako mume wa kumshughulisha? Mleta mada anahitaji ushauri siyo matusi.Mtafutieni Mume wa kumshughulisha
Umekula mirathi ambayo sio yako. Baba yako sio huyo aliyefariki.Wakuu habari zenu,
Inawezekana hili ni jambo ambalo linaonekana kama ni gumu sana, lakini nisiwe mnafiki, maisha yangu yote sijawahi kuuonja upendo wa mama.
Nyumbani tuko wa tano, mimi ni wa nne, na kaka zangu wote wameshaoa. Nyumbani niko mimi na mdogo wangu wa kike.
Mama yetu ni mlevi wa kupindukia, analewa siku nzima, mara nyingine analala kwenye vilabu vya pombe watu wanamuokota wanamrudisha nyumbani, au wakati mwingine analala nje mpaka asubuhi.
Hapa mtaani wameshamjua kwa tabia zake mbovu na matendo mengi sana ya aibu anayoyafanya, mpaka kufikia wakati anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na watoto wadogo wa kuwazaa kabisa. Ameshafumaniwa kwenye majumba ya watu akifanya mapenzi na walevi wanaomuokota vilabuni akiwa amelewa na kwenda kumfanyia mambo mabaya.
Baba yetu alishafariki tangu mwaka 2013 kwa maradhi ya kisukari, jambo lililofanya mama yetu kupata mwanya wa kufanya mambo ya ajabu, ya ajabu, ya ajabu na ya kutisha!
Kipindi baba yetu yuko hai, alikuwa anagombana vibaya sana na mama kwasababu ya ulevi wa mama na mambo yake ya kushindwa kulea familia mpaka ikafika kipindi baba akahama nyumbani akaenda kupata mwanamke mwingine!
Baada ya kifo cha baba yetu, tulipata mirathi ambayo inaingia kwenye akaunti ya mama yetu kwa awamu kila mwezi.
Fedha hizi za mirathi ndizo anazotumia kufanya ulevi na umalaya wa kutisha na walevi wenzake.
Kila mara anarudi nyumbani amepigwa, amechaniwa nguo na kudhalilishwa na hao waume zake wasiojulikana.
Kiufupi mama yetu amegeuka dampo la kila mlevi kumfanyia uchafu.
Tumeshamkanya na kumuweka vikao vya familia zaidi ya mara mia moja lakini hasikii lolote.
Mimi ni mwanachuo, na nilipopata likizo nikasema ngoja niende nyumbani nikawasalimu kidogo. Lakini matokeo yake nimekutana na mambo ya kutisha na kuniumiza sana moyo wangu.
Imefika wakati mpaka napatwa na ghadhabu na kuanza kurudishiana nae maneno makali. Matokeo yake ananitukana sana na kunilaani.
Namchukia sana mama yangu!
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika mapungufu ya mama yake huku jamii forum,vinginevyo na yeye hajakamilikaMkuu huyu anazungumzia mambo yanayomsibu, anahitaji courage, na ushauri wa vipi ataweza kumsaidia Mama, ili awe kama mama wengine wanojali familia zao,
VIPI NDO MAMA YAKO KISHA MTU AANDIKE KAMA WEWE, UTAJISKIAJE, NA
Na Mama anauma sana kuliko hata mke au Mume, kwani Mke/Mume waweza pata mwingine na ukamsahau wa mwanzo moja kwa moja, MAMA HUWEZI PATA MWINGINE hata ajitokeze mlezi akawa na Mapenzi kuliko Mama Mzazi, lakin still hawezi kuiziba nafasi yake completely
Majibu mengine ni bora kunyamaza. Wewe unaweza kumtafutia mamako mume wa kumshughulisha? Mleta mada anahitaji ushauri siyo matusi.
Tujifunze kuwa na staha. Anazungumza kuhusu mama yake mzazi. Wewe unaweza kumumuunganishia mama yako kwa mwanaumeMtafutieni Mume wa kumshughulisha
Mama yako akiwa Na Upweke wa kukosa Mtu wa kushare nae Masuala ya kingono dawa yake ni kumtaftia Au kumsaidia namna ya kupata Mwanaume hakuna njia mbadala Hata uzi ufkishe page elf 10Tujifunze kuwa na staha. Anazungumza kuhusu mama yake mzazi. Wewe unaweza kumumuunganishia mama yako kwa mwanaume
Ni kama vile umekuja hapa kupiga soga tu kwa kisa cha kutunga. Maoni yote unayapa dole gumba "like" - hata yale yanayopingana. Hata yule anayesema umtamfutie mama yako mume wa kumshughulisha umempa dole. JF kuna vioja!Wakuu habari zenu,
Inawezekana hili ni jambo ambalo linaonekana kama ni gumu sana, lakini nisiwe mnafiki, maisha yangu yote sijawahi kuuonja upendo wa mama.
Nyumbani tuko wa tano, mimi ni wa nne, na kaka zangu wote wameshaoa. Nyumbani niko mimi na mdogo wangu wa kike.
Mama yetu ni mlevi wa kupindukia, analewa siku nzima, mara nyingine analala kwenye vilabu vya pombe watu wanamuokota wanamrudisha nyumbani, au wakati mwingine analala nje mpaka asubuhi.
Hapa mtaani wameshamjua kwa tabia zake mbovu na matendo mengi sana ya aibu anayoyafanya, mpaka kufikia wakati anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na watoto wadogo wa kuwazaa kabisa. Ameshafumaniwa kwenye majumba ya watu akifanya mapenzi na walevi wanaomuokota vilabuni akiwa amelewa na kwenda kumfanyia mambo mabaya.
Baba yetu alishafariki tangu mwaka 2013 kwa maradhi ya kisukari, jambo lililofanya mama yetu kupata mwanya wa kufanya mambo ya ajabu, ya ajabu, ya ajabu na ya kutisha!
Kipindi baba yetu yuko hai, alikuwa anagombana vibaya sana na mama kwasababu ya ulevi wa mama na mambo yake ya kushindwa kulea familia mpaka ikafika kipindi baba akahama nyumbani akaenda kupata mwanamke mwingine!
Baada ya kifo cha baba yetu, tulipata mirathi ambayo inaingia kwenye akaunti ya mama yetu kwa awamu kila mwezi.
Fedha hizi za mirathi ndizo anazotumia kufanya ulevi na umalaya wa kutisha na walevi wenzake.
Kila mara anarudi nyumbani amepigwa, amechaniwa nguo na kudhalilishwa na hao waume zake wasiojulikana.
Kiufupi mama yetu amegeuka dampo la kila mlevi kumfanyia uchafu.
Tumeshamkanya na kumuweka vikao vya familia zaidi ya mara mia moja lakini hasikii lolote.
Mimi ni mwanachuo, na nilipopata likizo nikasema ngoja niende nyumbani nikawasalimu kidogo. Lakini matokeo yake nimekutana na mambo ya kutisha na kuniumiza sana moyo wangu.
Imefika wakati mpaka napatwa na ghadhabu na kuanza kurudishiana nae maneno makali. Matokeo yake ananitukana sana na kunilaani.
Namchukia sana mama yangu!
Thank u soo much. Exactly my thoughts..Me nashangaa sana,.msomi mzima anashindwaje kuwaza jambo km hili..kwamba lazima kuna sbb sio bure..Na nini cha kufanya ,.ni rehab na upendo na kumpeleka kwa therapist if possible..sina tu uwezo but ningefanya makubwa kwa ndg zng not to talk about my parents aisee..If she doesn't have you, the fruit of her womb then who does she have to back her up in this dirty filthy world?
Unajiita msomi wakati mentally you are still a slave. A slave to what people think of your Mommy. And here you are judging her and calling her a whore. Pathetic.
That is your Mother. Despite everything she is your Mother! Fight with every breath you have to get your Mother back and shame the devil.
To begin with, fight alcoholism. You know how? Take her to Rehab in a different town. Pay the fees there. Have her Booked. Visit her and make sure all her needs are taken care of.
Alcohol is the mother of all evils. Alcohol made you lose your Mom. You need to appreciate your Mom despite everything. She could have chosen to abort your little asses while she was pregnant but she fought all the pregnancy woes and gave birth to you little monsters who are there mnabana pua na kumuita mlevi na malaya. SMDH.
Prove the world wrong. Put to shame those evil people taking advantage of her drunken stupor. Fight for your Mama young Man.
Kabla hujamchukia mama yako nadhani unahitaji kumuombea dua kwa mungu kila siku unapokwenda kusali amuondowe kwenye ulevi na kumfanya awe mama mwema. Chuki juu ya mama sio uponyaji bali upotoaji sifikiri kama mama alipo kuzaa alikuchukia bali alikupenda na kukufurahia na kukuimbia nyimbo nzuri wakati wa kulala. Na wewe unahitaji kumuombea dua njema wakati huu, uwezi kumchukia aliekupenda na kukulea, muombee mama kwa mola arudie kua mama bora. Usione aibu kwa majirani kwani kila familia ina mitihani yakeWakuu habari zenu,