Namchukia sana mama yangu mzazi

Namchukia sana mama yangu mzazi

unajua kuna watu huwa wanaleta utani kwenye vitu vya huzuni kwa wenzao kama wawa walijiumba,ndugu yetu ameomba msaada sio kejeli na matusi,hivi jiulize wewe ndugu unaemzihaki mwenzako angekuwa mama yako ungefurahi kujibiwa hivyo? unajua kitakachokutokea baada ya sekunde moja,achana na kesho unauhakika wa kuiona.Ndugu yangu ulioleta maada kwanza nikupe pole huo ni mtihani uliopewa na mwenyezi mungu ni yawezekana ukawa mdogo wako wenye mtihani mkubwa zaidi ya huo mfano unakuta mama yako kichaa na ni mtu wa kutukana na kutembea uchi,cha muhimu jikabizi kwa mwenyezi mungu na usije ukajibizana naye kwa anayoyafanya usijeukajipa laana ya bure wewe mueshimu
 
Pole mkuu ila hupaswi kumchukia maana ni miongoni vitu visivyobadilika yaani nikukubaliana nacho tu mkuu nakumpenda alivyo nakumuombea Mungu yupo na ipo siku atabadilika
 
Kitu kimoja nilichojifunza ni kuwa kuna watu kwenye maisha wamepitia mambo magumu mnoo tokea labda wakiwa watoto na wengine wakiwa wakubwa labda kwa kuona jamii itawahukumu wameamua kuficha maumivu yao kitu ambacho ni kibaya kimwili na kiroho. Kimwili watu wanaficha maumivu kwa kutafuta furaha za temporary yani anajifariji nafsi yake kwa kuwa mlevi kupindukia, kuwa na wanawake au wanaume tofauti tofauti au zaidi ya mmoja kuwa rebellion kaidi mkorofi mkorofi mgomvi mgomvi hasira za hapa na pale ukali ukali tu na vitu mbali mbali kutokana na maumivu yake mwingine anaenda mbali kiasi wengine inabidi kupata matibabu hospitalini na washauri wasaikolojia lakini tukija kiroho sana kwamba kuna spiritual protocal ambazo Mungu ametuekea ili kuwa salama nafsi zetu.
Mfano biblia inatutaka tusamehe na kusahau pindi mtu anapokukosea usipofanya hivyo umevunja sheria ya Mungu umefungua mlango wa mapepo kuingia kupitia kutokusamehe wanaanza kukukontrol ndo mana unakuta mtu anatabia flani haipendi lakini kuiacha hawezi. Mdau naweza kukuambia kama shida ya mama yako kuijua muulize akilala anaota nini kama anaweza kukumbuka ndoto zake. One thing i can tell you fanya repentance kwa Mungu nikuambie tafuta scpitutures za repantance zisome alafu tafakari maisha yako piga magoti muambie Mungu najua nimekukosea ninatubu naomba nisamehe kama kuna chochote unahisi uliwahi kufanya ambacho unajua ni dhambi tubu hata hiyo ya kumchukia mama yako mwambie Mungu akusamehe kwa kuwa umemuhukumu na Mungu alisema tusihukumu wewe nenda hivyo kila unachohisi ulifanya just confess ukiweza fanya fasting stand for your mother wakati huo usiache kumuonyesha upendo mama yako ikibidi ukiomba omba nae tafuta washirika wazuri msaidiane utakuja kuniambia na kila wakati uwe makini na ndoto zako utapata majibu.
Nimekupm muongozo na kama uko Arusha nijulishe nitakusaidia kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
 
Asante mkuu, nimeona!
 
a
Wakuu habari zenu,

Inawezekana hili ni jambo ambalo linaonekana kama ni gumu sana, lakini nisiwe mnafiki, maisha yangu yote sijawahi kuuonja upendo wa mama.

Nyumbani tuko wa tano, mimi ni wa nne, na kaka zangu wote wameshaoa. Nyumbani niko mimi na mdogo wangu wa kike.

Mama yetu ni mlevi wa kupindukia, analewa siku nzima, mara nyingine analala kwenye vilabu vya pombe watu wanamuokota wanamrudisha nyumbani, au wakati mwingine analala nje mpaka asubuhi.

Hapa mtaani wameshamjua kwa tabia zake mbovu na matendo mengi sana ya aibu anayoyafanya, mpaka kufikia wakati anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na watoto wadogo wa kuwazaa kabisa. Ameshafumaniwa kwenye majumba ya watu akifanya mapenzi na walevi wanaomuokota vilabuni akiwa amelewa na kwenda kumfanyia mambo mabaya.

Baba yetu alishafariki tangu mwaka 2013 kwa maradhi ya kisukari, jambo lililofanya mama yetu kupata mwanya wa kufanya mambo ya ajabu, ya ajabu, ya ajabu na ya kutisha!

Kipindi baba yetu yuko hai, alikuwa anagombana vibaya sana na mama kwasababu ya ulevi wa mama na mambo yake ya kushindwa kulea familia mpaka ikafika kipindi baba akahama nyumbani akaenda kupata mwanamke mwingine!

Baada ya kifo cha baba yetu, tulipata mirathi ambayo inaingia kwenye akaunti ya mama yetu kwa awamu kila mwezi.

Fedha hizi za mirathi ndizo anazotumia kufanya ulevi na umalaya wa kutisha na walevi wenzake.

Kila mara anarudi nyumbani amepigwa, amechaniwa nguo na kudhalilishwa na hao waume zake wasiojulikana.

Kiufupi mama yetu amegeuka dampo la kila mlevi kumfanyia uchafu.

Tumeshamkanya na kumuweka vikao vya familia zaidi ya mara mia moja lakini hasikii lolote.

Mimi ni mwanachuo, na nilipopata likizo nikasema ngoja niende nyumbani nikawasalimu kidogo. Lakini matokeo yake nimekutana na mambo ya kutisha na kuniumiza sana moyo wangu.

Imefika wakati mpaka napatwa na ghadhabu na kuanza kurudishiana nae maneno makali. Matokeo yake ananitukana sana na kunilaani.

Namchukia sana mama yangu!
usimchukie kama umri umeenda tafuta kwako na vyako tu
 
Ukiona hivyo mara nyingi sana Mama/baba yake yaani bibi/Babu yako naye alikuwa hivyo, hivyo ushauri wangu kwako angalia sana na wewe pia utaishia hivyo kama usipoangalia, ila kwa kuwa umeshajua ina maana tayari karibia 50% ya tatizo limeshatatulika tayari, wengi huwa hawapati bahati ya kujua na wanaishia hivyo hivyo tu kama Wazazi wao, hivyo jichunge sana kama ukiona tabia ya mama yako pia unazo na wewe basi nakushauri usizae mtoto kwani kufanya hivyo ni kuendelea kuharibu kizazi mara nyingi matatizo kama haya ni ya kurithi ingawaje siyo lazima iwe hivyo, lkn mara nyingi ni hivyo, wazazi wenye matatizo wameyapata ktk kwa Wazazi wao na wao huwaachia watoto wao!

Hivyo usizae!
Ushauri wa popo huo. Asizae halafu iweje
 
Wakuu habari zenu,

Inawezekana hili ni jambo ambalo linaonekana kama ni gumu sana, lakini nisiwe mnafiki, maisha yangu yote sijawahi kuuonja upendo wa mama.

Nyumbani tuko wa tano, mimi ni wa nne, na kaka zangu wote wameshaoa. Nyumbani niko mimi na mdogo wangu wa kike.

Mama yetu ni mlevi wa kupindukia, analewa siku nzima, mara nyingine analala kwenye vilabu vya pombe watu wanamuokota wanamrudisha nyumbani, au wakati mwingine analala nje mpaka asubuhi.

Hapa mtaani wameshamjua kwa tabia zake mbovu na matendo mengi sana ya aibu anayoyafanya, mpaka kufikia wakati anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na watoto wadogo wa kuwazaa kabisa. Ameshafumaniwa kwenye majumba ya watu akifanya mapenzi na walevi wanaomuokota vilabuni akiwa amelewa na kwenda kumfanyia mambo mabaya.

Baba yetu alishafariki tangu mwaka 2013 kwa maradhi ya kisukari, jambo lililofanya mama yetu kupata mwanya wa kufanya mambo ya ajabu, ya ajabu, ya ajabu na ya kutisha!

Kipindi baba yetu yuko hai, alikuwa anagombana vibaya sana na mama kwasababu ya ulevi wa mama na mambo yake ya kushindwa kulea familia mpaka ikafika kipindi baba akahama nyumbani akaenda kupata mwanamke mwingine!

Baada ya kifo cha baba yetu, tulipata mirathi ambayo inaingia kwenye akaunti ya mama yetu kwa awamu kila mwezi.

Fedha hizi za mirathi ndizo anazotumia kufanya ulevi na umalaya wa kutisha na walevi wenzake.

Kila mara anarudi nyumbani amepigwa, amechaniwa nguo na kudhalilishwa na hao waume zake wasiojulikana.

Kiufupi mama yetu amegeuka dampo la kila mlevi kumfanyia uchafu.

Tumeshamkanya na kumuweka vikao vya familia zaidi ya mara mia moja lakini hasikii lolote.

Mimi ni mwanachuo, na nilipopata likizo nikasema ngoja niende nyumbani nikawasalimu kidogo. Lakini matokeo yake nimekutana na mambo ya kutisha na kuniumiza sana moyo wangu.

Imefika wakati mpaka napatwa na ghadhabu na kuanza kurudishiana nae maneno makali. Matokeo yake ananitukana sana na kunilaani.

Namchukia sana mama yangu!
brother tafuta maziwa ya ngurue mchanganyie kwnye pombe bila kujua hatokunywa pombe tenaaa
 
Inatia hasira sana pole kwa majaribu.
 
Back
Top Bottom