Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,453
Yani namchukia Magufuli haswa yeye kwa namna moja au nyingine ndiye amesababisha maisha yangu ya chuo yawe magumu mpaka natamani kuacha chuo nikafanye mambo mengine kusudi nipate pesa za kunikimu. Sio siri kila nikiona tangazo kuhusu kusaini mikopo kwa wanafunzi wenzangu huwa nailani sana serikali hii ya kifedhuli iliyojaa uonevu
Serikali imejaa unafiki na uzandiki wa kupindukia
Wametunyima mkopo wanafunzi kisa tu tulipitia shule binafsi lakini kama hicho ndio kigezo mbona batch nyingine wanawapa mikopo ingawaje na wao wamesoma shule binafsi
Kiukweli huyu mtu Magufuli namchukia from bottom of my heart inafika kipindi nikisikia sauti yake hata kama nilikuwa na furaha, furaha yote inaisha papo hapo na hata nikiiona sura yake tu kwenye TV au magazeti huwa nachukia sana.