Wewe unaonekana hujafika chuo kabisa. Ada ya chuo mwaka mmoja inaweza kumsomesha mwanafunzi kidato cha kwanza hadi cha nne.Pole sana...ila kama mwanafunzi wa chuo...nilitegemea uone logic kwenye hayo maamuzi...swali...ulisomaje huko sekondari wakati fee ni kubwa kuliko chuo? Huo kuna mtu aliye na uhitaji zaidiyako? Au umemeamua kuwa selfish tu?
Ccm imeshasambaratika, akina Kinana, Nape, Makamba na Nchemba ndio hao unaona wamekipotezea chama mmebaki na akina bashite wasioweza kuitisha mkutano hata wa watu mia moja bila kutoa pesa na kusombelea watu kwa mabasi.Yaani kati ya uchaguzi utakaokuwa mlaini kwa CCM ni 2020:
CCM wanajipanga kuonyesha walichowafanyia wananchi,wapinzani wanakusanya manaeno ya kuwaambia wananchi kuhusu unaya wa CCM,
Tz hakuna upinzani wa kweli:
Actions talks lauder than words
ivi Lubuva atakua hai hadi 2020 maana nae simpendiNdio hivyo tena kichinjio nacho Lubuva ameki-hack, kwahyo ni taabu tupu till 2025[emoji24]
Pole!nna swali kwako ada kiasi gani ulilipa huko shule ya private?Yani namchukia magufuli haswa yeye kwa namna moja au nyingine ndiye amesababisha maisha yangu ya chuo yawe magumu mpaka natamani kuacha chuo nikafanye mambo mengine kusudi nipate pesa za kunikimu. Sio siri kila nikiona tangazo kuhusu kusaini mikopo kwa wanafunzi wenzangu huwa nailani sana serikali hii ya kifedhuri iliyoja uonevu
Serikali imejaa unafiki na uzandiki wa kupindukia
Wametunyima mkopo wanafunzi kisa tu tulipitia shule binafsi lakini kama hiko ndio kigezo mbona batch nyingine wanawapa mikopo ingawaje na wao wamesoma shule binafsi
Kiukweli huyu mtu magufuli namchukia from bottom of my heart inafika kipindi nikisikia sauti yake hata kama nilikuwa nafuraha ,furaha yote inaisha papo hapo na hata nikiiona sura yake tu kwenye tv au magazeti huwa nachukia sana.
Yani namchukia magufuli haswa yeye kwa namna moja au nyingine ndiye amesababisha maisha yangu ya chuo yawe magumu mpaka natamani kuacha chuo nikafanye mambo mengine kusudi nipate pesa za kunikimu. Sio siri kila nikiona tangazo kuhusu kusaini mikopo kwa wanafunzi wenzangu huwa nailani sana serikali hii ya kifedhuri iliyoja uonevu
Serikali imejaa unafiki na uzandiki wa kupindukia
Wametunyima mkopo wanafunzi kisa tu tulipitia shule binafsi lakini kama hiko ndio kigezo mbona batch nyingine wanawapa mikopo ingawaje na wao wamesoma shule binafsi
Kiukweli huyu mtu magufuli namchukia from bottom of my heart inafika kipindi nikisikia sauti yake hata kama nilikuwa nafuraha ,furaha yote inaisha papo hapo na hata nikiiona sura yake tu kwenye tv au magazeti huwa nachukia sana.
Hiyo ndio tafsir halisi ya siasa ..kuna video ninayo inamuonesha magufuli kipindi cha kampeni akisissitiza kwamba kila mwanachuo lazima apewe mkopo..tena alisisitiza kweli kweli.. Video ninayo kama vip ni PM nikutumieYani namchukia magufuli haswa yeye kwa namna moja au nyingine ndiye amesababisha maisha yangu ya chuo yawe magumu mpaka natamani kuacha chuo nikafanye mambo mengine kusudi nipate pesa za kunikimu. Sio siri kila nikiona tangazo kuhusu kusaini mikopo kwa wanafunzi wenzangu huwa nailani sana serikali hii ya kifedhuri iliyoja uonevu
Serikali imejaa unafiki na uzandiki wa kupindukia
Wametunyima mkopo wanafunzi kisa tu tulipitia shule binafsi lakini kama hiko ndio kigezo mbona batch nyingine wanawapa mikopo ingawaje na wao wamesoma shule binafsi
Kiukweli huyu mtu magufuli namchukia from bottom of my heart inafika kipindi nikisikia sauti yake hata kama nilikuwa nafuraha ,furaha yote inaisha papo hapo na hata nikiiona sura yake tu kwenye tv au magazeti huwa nachukia sana.
Duuuh I feel the pain mkuu...mkuu mpaka anamaliza.muda wake hiyo 2020 nitakuwa nishamaliza kusoma ila kusoma kwa shida sana
hata pesa ya field sina wala bumu na hali imekuwa ngumu mpaka sasa hata ada sijalipa bado.
Umezungumza kitu cha maana sana, wale wazungu wanavyozaa mtoto mmoja au wawili wanaepuka karaha kama izi. Mzazi Kazaa watoto 6, kwa mfano ataweza kuwasomesha mpaka level ya chuo na kujitegemea kitu ambacho akipo. Tuache maswala ya nadhaa watoto waje wanisaidie, cha Msingi ni kujiekea mikakati ya maisha na kuwa na watoto wachache ambao utaweza kuwaendeleza mpaka watakapojitegemea wenyewePole sana mdg wangu, ndio maana nakusanya hela kwa ajili ya kumsomesha mtt wangu sitak kuja kumlumu mtu baadae. Bank account niliyomfungulia itamsomesha hadi PhD hata nikifa sa iv. Wazaz tujipange kwa ajili ya maisha ya wtt wetu, kila mtu abebe mzg wake.
Alisema akiwa rais hamna mwanachuo atakosa mkopo!!Yani namchukia magufuli haswa yeye kwa namna moja au nyingine ndiye amesababisha maisha yangu ya chuo yawe magumu mpaka natamani kuacha chuo nikafanye mambo mengine kusudi nipate pesa za kunikimu. Sio siri kila nikiona tangazo kuhusu kusaini mikopo kwa wanafunzi wenzangu huwa nailani sana serikali hii ya kifedhuri iliyoja uonevu
Serikali imejaa unafiki na uzandiki wa kupindukia
Wametunyima mkopo wanafunzi kisa tu tulipitia shule binafsi lakini kama hiko ndio kigezo mbona batch nyingine wanawapa mikopo ingawaje na wao wamesoma shule binafsi
Kiukweli huyu mtu magufuli namchukia from bottom of my heart inafika kipindi nikisikia sauti yake hata kama nilikuwa nafuraha ,furaha yote inaisha papo hapo na hata nikiiona sura yake tu kwenye tv au magazeti huwa nachukia sana.
Mkuu katika kampeni aliahidi kuwa hamna mwanafunzi atakosa mkopo!! Hii nayo unaisemeaje? Je rais alitudanganya?Pole sana...ila kama mwanafunzi wa chuo...nilitegemea uone logic kwenye hayo maamuzi...swali...ulisomaje huko sekondari wakati fee ni kubwa kuliko chuo? Huo kuna mtu aliye na uhitaji zaidiyako? Au umemeamua kuwa selfish tu?