Anaupungufu wa Akili
Sawa ...Anaupungufu wa Akili
Huyo mjinga kabisaaaa!Kuna mwanangu mmoja ameacha pombe saizi anakula ugoro
em niache 😂😂😂😂😂😂Stupid kabisa wengine ndo wanafanya uchafu wa maumbile km huyu Poor Brain anasema sio dhambi ety dhambi ni kula kitimoto
Mshenzi sana huyu mtoto mla kitimoto poor brain maarfufu km mbamizwa kobaa,, nduguye mbamizwa katumeni cc DIVISHENI FOO
Kesho jumuiya tutasali kwa Poor Brain awahi awashe mshumaa,em niache 😂😂😂😂😂😂
Nakunywa pombe lakini:-Hivi vitu vyote umemention hakuna anakunywa pombe asietumia
Kwema wakuu
Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili.
Hapo unakuta
1.Anakunywa Ernegy
2.Soda Pepsii Bariidi
3.Anapenda wanawake balaa
4.Anakula Gomba na Skanska
Mpumbavu wewe
Hajawai kuishiiiiNakunywa pombe lakini:-
1. Sivuti sigara
2. Sitafuni mihadarati
3. Sivuti bangi
Sure kaka hawa ni walking dead gademiiHajawai kuishiiii