iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,149
- 9,971
Ntakupa namba inbobo utumie...Kama imepigwa ban nafanyaje
Ntakupa namba inbobo utumie...Kama imepigwa ban nafanyaje
GB ishachuja na inazingua mkuu, siku hizi kuna kitu Parallel -Space mwisho wa mamboHapana mkuu.... Iyo ya Whatsapp mbili katika sim moja ni case nyingne.... Ukitaka kurun Whatsapp mbili kwenye sim moja download application ya whatsapp nyingne inaitwa GBWhatsApp....
Poa poaNtakupa namba inbobo utumie...
Mkuu nami nisaidie namba huko PM, unisaidie na code niwe kwenye list ya wajanja mjini.Ntakupa namba inbobo utumie...
Mkuu umenikimbia pmNshakutumia namba tayari check....
Mmmmh kwan hiyo parallel space ina nini kipya mbona ya zamani sana then sio nzuri kama whatsapp gbGB ishachuja na inazingua mkuu, siku hizi kuna kitu Parallel -Space mwisho wa mambo
Kama huna application ya parallel... Inabidi u delete account yako ya whatsaap unayotumia kwa sasa then u sign in kwa kutumia namba yako iyo ya ufilipino mkuu....Kama cna application hyo ya parallel inakuwaje hapo
UK ipo pia [emoji4]Je nikitaka code ya nchi yoyote apart from usa
Iyo namba ya ufilipino I note down.... Then download application ya parallel space Google play....Mkuu nishapewa namba ya Filipino kupitia talk2 ...wat next maana cina iyo parallel
Iyo namba ya ufilipino I note down.... Then download application ya parallel space Google play....
Ukisha I download.. Add application ya whatsaap kwenye parallel space then ifungue iyo application ya whatssap sign up kama kawaida kwa kutumia namba hiyo ya ufilipino....
Kwenye kupata zile code sita ili kuweza Ku activate account yako bonyeza kitufe cha call utapigiwa simu na utatajiwa hizo code zinakiri sehemu then uziweke kwenye iyo sehemu ya code kuanzia hapo utakuwa unatumia whatsaap kwa namba ya ufilipino......
Nimeshafanikiwa kwa Primo, kumbe nilitakiwa kwenda kwa mail box ku activate/confirm email niliyoweka. Baada ya kufanya hivo kila kitu kikakaa sawa, asanteni[emoji111][emoji111]Download app ya VirtualSIM kutoka play store....
Inbox unapata wapi ilo activate /confirm?Nimeshafanikiwa kwa Primo, kumbe nilitakiwa kwenda kwa mail box ku activate/confirm email niliyoweka. Baada ya kufanya hivo kila kitu kikakaa sawa, asanteni[emoji111][emoji111]
Mkuu nifanyie maujanja me nmeshindwa aiseeee.Ingawa kwenye app ya virtualSIM nimefanikiwa tena hii njia ni rahisi sana ukiwa na account ya fb me nimechange namba za whatsapp zote mbili namba zangu now ni Trump tu
Mbona kwangu hii virtual sim ninaambia account is exceededIngawa kwenye app ya virtualSIM nimefanikiwa tena hii njia ni rahisi sana ukiwa na account ya fb me nimechange namba za whatsapp zote mbili namba zangu now ni Trump tu
Me hizi account zangu za whatsapp 2 zote nimefanikiwa kupata namba za trump kupitia iyo virtualsimMbona kwangu hii virtual sim ninaambia account is exceeded