Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Mm.ninafikia mpk kuipata namba ninapojaribu kufanya verification ninaambiwa namba haitambuliki us
Namba za hiyo virtualsim unazikuta setting then utakuta sehemu imeandikwa my phone number ukikclik hapo utaona juu kabisa Kuna hiyo namba ya trump na chini utakuta ya huku BBM a.k.a Bongo bahati mbaya alongside Tanzania so utachukua hiyo ya trump utaenda kuingiza katika account yako ya whatsapp then ukishaingiza utasubiri pale second zihesabu ili kuruhusu call ifanye kazi baada ya call kukuruhusu kupiga utapofya call ili kupigiwa upate code zako na hiyo sm itaita kupitia virtualsim tena huyo dem muungwana sana aisee anataja hizo code zaidi ya Mara 3
 
Inbox unapata wapi ilo activate /confirm?
unaenda kwenye mail box na kukuta Primo wamekutumia mail ya ku confirm ili iweze kuruhusu kukupa namba ya simu kwa Primo ila inakuwa ni Trial, ila kwa kuwa nina account ya PayPal ntailipia
 
Hujajibu PM yangu ko nashindwa kukusaidia kule kama unavohitaji cjui umeshafanikiwa...!!
Mkuu kwenye primo nishafka hatua za mwisho, ila nimeshindwa kuactivate kupitia email. Ushamba ni mzingo. Naomba nikutumie PM email address yangu na password unisaidie kuactivate ili nami nikwee pipa.
 
Mkuu kwenye primo nishafka hatua za mwisho, ila nimeshindwa kuactivate kupitia email. Ushamba ni mzingo. Naomba nikutumie PM email address yangu na password unisaidie kuactivate ili nami nikwee pipa.
No, usinitumie email mkuu we achananayo hiyo primo Hata mimi nilishindwa kuconfirm email na nkashindwa kupata namba nkatumia virtualsim ndo nkafanikiwa mkuu nakushauri tumia hiyo app ya virtualsim utafanikiwa inshallah

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Hyo app nilipewa namba ambayo ipo bunned. Labda kama unaweza kufanya ujanja ukapata nyingne nigeie
 
Mkuu kwenye primo nishafka hatua za mwisho, ila nimeshindwa kuactivate kupitia email. Ushamba ni mzingo. Naomba nikutumie PM email address yangu na password unisaidie kuactivate ili nami nikwee pipa.
Haina haja ya kunitumia E-mail na password yako kakaa! Tumia Virtual SIM iko play store na kama vip nlweka mpak link apa apa jukwaani ni mbadala wa primo au hii app pia ni kama virtual sim pia>>>>>https://d0.winudf.com/b/apk/Y29tLmV...ON&k=8c8001f83b1fd8f99c35b492950316985947e952
 
Mpaka sasa hivi naitumia, labda una disa tofauti. Maana hata whatsaap zipo za aina nyingi
Hata me namshangaa tu...Sijui imeacha lini kusupport watsapp wakati me ndo natumia mpaka muda huu... sijui anatumia Disa ipi...
 
Wazee wa kazi me nime download iyo virtualsim na cjaelewa chochote
 
Back
Top Bottom