GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 543
Hawaniletei confirmation codeBofya hio link nilokupa hapo udownload hio app inaitwa EASY SIM
Hawaniletei confirmation codeBofya hio link nilokupa hapo udownload hio app inaitwa EASY SIM
Sina Mb hapa ila ingia play store search for "DISA"Mkuu km unayo link ya hiyo kitu naiyomba
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......
Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
Mm na shida nataka kuwa na follows wengi Instagram naitaji kuhach nisaidieni anaye jua wakuu
A see Leo siku ya tatu nahangaika kupata code tuu, nimechagua call option lakini sipigiwi. [emoji26]Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......
Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
Utakapo chagua call option kwenye whatsapp na ukatuma taarifa zako muda huo huo nenda kwenye app ya primo ifungue pia hakikisha mtandao upande wa internet upo vzr.A see Leo siku ya tatu nahangaika kupata code tuu, nimechagua call option lakini sipigiwi. [emoji26]
hakuna kitu kama hicho natumia latest whatsapp kwa us namba na gb whatsapp kwa namba ya ufilipino.Whatsapp developers wameblok hizo mambo
Hata me i wondering.... Wakati hii ya Primo ndo latest trick ya kutumia USA namba kwa mwaka huu japokua ni famous tangu mwaka jana pamoja na kale ka app kengne kanaitwa TextPlus nako kameanza kuja kwa kasi na hii trick ila majuzi hapa nmeskia machizi wa WhatsApp wameshakalisha BAN tayari daah kalikua kazuri sana kale ani unajichagulia namba tofauti tofauti tu za kila nchi na za USA kibao na hata kile ki Voxox nacho kilikua poa ila ndo ivo tena developers wa WhatsApp washaviban nowdayz!!!!hakuna kitu kama hicho natumia latest whatsapp kwa us namba na gb whatsapp kwa namba ya ufilipini.
wameblock lini??
Ilikuepo app ya ivo inaitwa FonYOU na nyingine inaitwa Hushed ila ckuiz naona zishakula BAN ya maana... sijui kwa sababu waliona Magaidi hawa "Al-shabaab,Boko haram, na M23 wanazidi kua wengi, wana power sana na kutoka kila kona ya dunia....Mimi nahitaji ya Somalia wakuu nifanyeje??
duh! ila mimi bado natumia hizo namba niliverify kwa app inaitwa talk 2 sms nahisi nikibadili simu ndo kwisha kazi maana ntashindwa kubypass tena code verificationHata me i wondering.... Wakati hii ya Primo ndo latest trick ya kutumia USA namba kwa mwaka huu japokua ni famous tangu mwaka jana pamoja na kale ka app kengne kanaitwa TextPlus nako kameanza kuja kwa kasi na hii trick ila majuzi hapa nmeskia machizi wa WhatsApp wameshakalisha BAN tayari daah kalikua kazuri sana kale ani unajichagulia namba tofauti tofauti tu za kila nchi na za USA kibao na hata kile ki Voxox nacho kilikua poa ila ndo ivo tena developers wa WhatsApp washaviban nowdayz!!!!
Hata me bado natumia tu... Naogopa kubadilisha asaiv make naona ni mwendo wa Ban tu... Mainjinia wa Whatsapp asaiv hawataki mchezo kbsa na izi mambo...duh! ila mimi bado natumia hizo namba niliverify kwa app inaitwa talk 2 sms nahisi nikibadili simu ndo kwisha kazi maana ntashindwa kubypass tena code verification
Primo ipo kwa watumiaji wa Android OS na iOS kwa watu wa IPhone tu... kwa upande wa Windows mobile sijajua sasa kama ipo... Jaribu ku Google.msaada wadau kwa sisi wa windows mobile. hizi apps za primo na zinginezo hazipo windows store.
ACTIVATE iyo no. ulopewa then ingia inbox ya E-mail yako kuna sms watakutumia ya ku activetia ukimalza ichukue io namba na copy pemben ili ukaiweke kule kwenye watsapp....haya ikifika hapa nifanye kipi zaid![]()