Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,064
2,000
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
 
Jun 7, 2017
94
150
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako tu ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
Shukrani mkuu nakuombea ujana mrefu mana uzee mateso..

Dalili za kwenda USA sizioni kabisa sasa nishindwe hata kutumia namba ya USA kweli? hebu nisafishe nyota kwa kuanza kutumia namba zao kwanza aseee khaaa Maisha haya
 
Jun 7, 2017
94
150
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako tu ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
chief nime download iyo ktu lakini namba siletewi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom