Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Tahadhali,
Gaidi huko USA anaweza akawa anatumia hiyo namba kwenye simu bila kutumia whatsapp ila wewe ukaiunga kwenye whatsapp itafanya kazi ila siku akiripua mtaa huko USA basi wewe na whatsapp yako ya USA utakuwa mtuhumiwa namba 1.

Kumbuka, USA they don't negotiate with the terrorists, tutakukuta guentamala prison.
 
Mmmmh sawa
 
Haiwezekani ndiyo maana unaweza ipiga kwa simu ya kawaida ikaita kwenye simu yako
 
Utakapo chagua call option kwenye whatsapp na ukatuma taarifa zako muda huo huo nenda kwenye app ya primo ifungue pia hakikisha mtandao upande wa internet upo vzr.
Nimekwama kabisa kutumia hii ishu na ujanja wangu woote katika mambo ya mitandao
 
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
Washaizuia hyo cku hz

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom