Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Nenda Google play download application moja hivi inaitwa talk2.... Baada ya kui download ifungue utakuta/utapewa namba ya ufilipino....

Hiyo namba I copy pembeni kwa karatasi... Then kama upo na application ya parallel space unaweza clone whatsaap application hapo...

Then baada ya hapo register kama kawaida... But kwenye kupata code tumia option ya Ku call... Utapigiwa simu then utapewa code inakiri sehemu, register then baada ya hapo utajihisi upo ufilipino mkuu....

All da best
Kama cna application hyo ya parallel inakuwaje hapo
 
Mbona kwangu ilikubali mwanzo mpka acc ikawa active sasa nmebadili simu leo naweka inakataa,au nmechemka wap maana kwa kusahau? Nimekwenda mpka nilipoweka namba yangu wakanipigia,then nikapewa code na naweka wananiambia hii email ina mtu wakat ni mm mwenyewe
 
Nimerudi kwenu wote mlioshiriki kutuelekeza jinsi gani tunaweza kutumia namba ya USA whatsapp bila kupanda ndege kuwaambia asanteni sana tena sana mungu awaongoze katika kila jambo kwani nahisi nimepata njia ya kukwepa kuombwa vocha na madem wa group now ntawaambia nipo USA huku hakuna Haloteli , airtel, zantel wala smart
Hao madem mburula kweli
 
Mbona kwangu ilikubali mwanzo mpka acc ikawa active sasa nmebadili simu leo naweka inakataa,au nmechemka wap maana kwa kusahau? Nimekwenda mpka nilipoweka namba yangu wakanipigia,then nikapewa code na naweka wananiambia hii email ina mtu wakat ni mm mwenyewe
Njoo PM uchukue USA number afu weka whatsapp ikikuomba verification codes nistue nikupe codes....
 
Nenda Google play download application moja hivi inaitwa talk2.... Baada ya kui download ifungue utakuta/utapewa namba ya ufilipino....

Hiyo namba I copy pembeni kwa karatasi... Then kama upo na application ya parallel space unaweza clone whatsaap application hapo...

Then baada ya hapo register kama kawaida... But kwenye kupata code tumia option ya Ku call... Utapigiwa simu then utapewa code inakiri sehemu, register then baada ya hapo utajihisi upo ufilipino mkuu....

All da best
Mkuu nishapewa namba ya Filipino kupitia talk2 ...wat next maana cina iyo parallel
 
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
Hata mimi nimetumia njia hii na nimeipata apps,wasiwasi wangu ni je hii haiexpy kwa muda mfupi?
 
Hapana mkuu.... Saizi uo upuuzi WhatsApp washau fix wa kuirudia io namba mara mbili kusajiriwa WhatsApp na watu wawili tofauti? Inapigwa BAN ikishatumika ili istumike kwenye account nyingne tena.... Ndio maana unakuta mtu akifanikiwa kupata namba kule kwenye primo na kuja kuiunga whatsapp majibu mawili atagemee kukubali au kukataa na ataambiwa ivi "Your number (+1...........) is banned from using WhatsApp" kama ilshatumika tayari na mtu mwingne.......
Kama imepigwa ban nafanyaje
 
Jisajili na account yako ya fb yaani ukiifungua hiyo app utakutwa ishajieka namba yako then utaklick hapo next alafu chini utakuta pameandika lugha ya trump ikisema unganisha Facebook ukisha maliza usajili utarudi kwenye app virtualsim then nenda setting utakuta sehemu pameandika my phone number hapo ukiklick utakuta umepewa namba mbili Moja ambayo ni yako ya huku TZ na juu kabisa namba ya USA ndo utachukua hiyo kusajilia whatsapp na hapo whatsapp utatumia sehemu ya call ili kupata code zako maana ukisubiri SMS hutopata so ukipigiwa utatajiwa izo code utazijaza whatsapp
Kama namba imepigwa ban nafanyaje
4d8807efd25b14c077c15331139910f2.jpg
 
Back
Top Bottom